24/11/2018..Nani ataandika Music history?

24/11/2018..Nani ataandika Music history?

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
Bado siku kadhaa ili tushuhudie miamba mitatu ikitunishiana misuli katika kuonesha nani ana nguvu kuzidi mwenzake..
siku ya trh 24 nchi hii itasimama kwa muda kucheki pambano la nani atakuwa na mafuriko!!..iko hivi. ..
1.Ali kiba atakuwa Kahama
2.Fiesta itazinduliwa dar
3.Wasafi festival Live in Mtwara
yetu machoooooooooo!!
 
Kiba atakuwa na nini huko Kahama!??
Amenifurahisha sana this time kutokubali tumika..
 
Sasa wengine Mtwara na wengine Dar,wengine Kahama hapo unawalinganishaje??

Ingetakiwa iwe hivi,

√wote wanafanya show moja sehemu moja let say Dar

√Viingilio sawa

Hapo ndo ungeweza kufanya comparison
 
Bado siku kadhaa ili tushuhudie miamba mitatu ikitunishiana misuli katika kuonesha nani ana nguvu kuzidi mwenzake..
siku ya trh 24 nchi hii itasimama kwa muda kucheki pambano la nani atakuwa na mafuriko!!..iko hivi. ..
1.Ali kiba atakuwa Kahama
2.Fiesta itazinduliwa dar
3.Wasafi festival Live in Mtwara
yetu machoooooooooo!!
Nitakuwa mtwara namcheki mwanangu Niki mbishi kitamboooo sanaaaaaaaa
 
WCB ni Kusaga Clouds ni Kusaga....Mnachezewa akili ili MPIGWE pesa hakuna beef wala nini ni mbinu za kibiashara kukamata MAZWAZWA na mtapigwa sana pesa.
Hebu thibitisha kwa kutuwekea vielelezo kutoka Brela kama kweli Diamond hamiliki Wasafi. hizi hear say zenu na upotoshaji kutoka kwa Mange havina mashiko.
 
Back
Top Bottom