24/11/2018..Nani ataandika Music history?

24/11/2018..Nani ataandika Music history?

Hebu thibitisha kwa kutuwekea vielelezo kutoka Brela kama kweli Diamond hamiliki Wasafi. hizi hear say zenu na upotoshaji kutoka kwa Mange havina mashiko.
Sawa Mkuu,wataalamu kutoka brela wataweka na ndugu wa joe watakuja kuweka wazi mambo yakija kuharibika(kudhulumiana).
 
Bado siku kadhaa ili tushuhudie miamba mitatu ikitunishiana misuli katika kuonesha nani ana nguvu kuzidi mwenzake..
siku ya trh 24 nchi hii itasimama kwa muda kucheki pambano la nani atakuwa na mafuriko!!..iko hivi. ..
1.Ali kiba atakuwa Kahama
2.Fiesta itazinduliwa dar
3.Wasafi festival Live in Mtwara
yetu machoooooooooo!!
Achana na hiyo festival,yan Chibu angeamua tu kutangaza show ya pek yake uwanja wa uhuru nov 24 hao CMG wangepotea itakua hiyi sasa Wasafi Festival iliyobeba vichwa kibao😂 Hawaamini wanachokiona🙌🙌🙌 Mapinduzi ya burudani
 
hakika hawawezi amini wanachokiona sanaa kweli imezaliwa upyaaaa , walikuwa wamejimilikisha wasanii hawa
 
Hahaha Kanda ya ziwa hawezi kuitwa mshahara hata haya maneno "yamitoke,Namiambia" hawayajui,mambo ya Tanga hayo👌
Ahahahahaahahaahaha mkuu hayo maneno ni maarufu Tanga, ila hata sisi watoka mbali tunajichanganya tunapata harufu , majina yetu haya mashalaa, mshahara, mashauri , nitakuja kuoa tanga mkuu unipokee ahahahha
 
Sawa Mkuu,wataalamu kutoka brela wataweka na ndugu wa joe watakuja kuweka wazi mambo yakija kuharibika(kudhulumiana).
Sawa mkuu,basi tusubiri huo ukweli wa pili. Kwa sasa tunajua wasafi na kila kitu chini yake vinamilikiwa na Diamond Platnumz!
 
Back
Top Bottom