Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
We jamaa sijui ni houseboy wa Ruge..WCB ni Kusaga Clouds ni Kusaga....Mnachezewa akili ili MPIGWE pesa hakuna beef wala nini ni mbinu za kibiashara kukamata MAZWAZWA na mtapigwa sana pesa.
Kiba atakuwa na nini huko Kahama!??Bado siku kadhaa ili tushuhudie miamba mitatu ikitunishiana misuli katika kuonesha nani ana nguvu kuzidi mwenzake..
siku ya trh 24 nchi hii itasimama kwa muda kucheki pambano la nani atakuwa na mafuriko!!..iko hivi. ..
1.Ali kiba atakuwa Kahama
2.Fiesta itazinduliwa dar
3.Wasafi festival Live in Mtwara
yetu machoooooooooo!!
Comment yako haihusiani boss umeulizwa nani ataandika history?WCB ni Kusaga Clouds ni Kusaga....Mnachezewa akili ili MPIGWE pesa hakuna beef wala nini ni mbinu za kibiashara kukamata MAZWAZWA na mtapigwa sana pesa.
Shamba la bwana kheri, mbuzi ya bwana kheri, yote kheri.WCB ni Kusaga Clouds ni Kusaga....Mnachezewa akili ili MPIGWE pesa hakuna beef wala nini ni mbinu za kibiashara kukamata MAZWAZWA na mtapigwa sana pesa.
Nawafumbua macho MAZWAZWA Mkuu!! Mie sio ZWAZWA kwahiyo siwezi kuingia kwenye "MTEGO".Comment yako haihusiani boss umeulizwa nani ataandika history?
Nawafumbua macho MAZWAZWA Mkuu!! Mie sio ZWAZWA kwahiyo siwezi kuingia kwenye "MTEGO".
Hahahahaaaa huu mchezo hauhitaji hasira mkuu vibe kama lote na tunasepa na kijiji hautoamini nakwambia.We jamaa sijui ni houseboy wa Ruge..
Mbona unachuki na kila MOVEMENT ya Diamond..
Pumbavu.
Sawa Mkuu endeleeni nyie wapenda burudani wacha sie wapenda kuwafumbua macho MAZWAZWA tuendelee.Mbona hayo hata hayatuhusu sisi yetu burudani tu nani yuko nyuma wanajua wao
Nitakuwa mtwara namcheki mwanangu Niki mbishi kitamboooo sanaaaaaaaaBado siku kadhaa ili tushuhudie miamba mitatu ikitunishiana misuli katika kuonesha nani ana nguvu kuzidi mwenzake..
siku ya trh 24 nchi hii itasimama kwa muda kucheki pambano la nani atakuwa na mafuriko!!..iko hivi. ..
1.Ali kiba atakuwa Kahama
2.Fiesta itazinduliwa dar
3.Wasafi festival Live in Mtwara
yetu machoooooooooo!!
Msimu mzuri huu korosho kilo 3300 ahahahhahahhahaahahahah pakutemea mate hutapaonaHahahahaaaa huu mchezo hauhitaji hasira mkuu vibe kama lote na tunasepa na kijiji hautoamini nakwambia.
Tabu ipo pale pale Mzee Baba.Msimu mzuri huu korosho kilo 3300 ahahahhahahhahaahahahah pakutemea mate hutapaona
Ahahahahaahahaahaha mlizoea kula pesa wenyewe , mwaka huu lazima mavi yamitokeTabu ipo pale pale Mzee Baba.
Mechi kati ya coast Union na lipuliKiba atakuwa na nini huko Kahama!??
Amenifurahisha sana this time kutokubali tumika..
Vibe kamaaa.. . ..maliziaWe jamaa sijui ni houseboy wa Ruge..
Mbona unachuki na kila MOVEMENT ya Diamond..
Pumbavu.
Hebu thibitisha kwa kutuwekea vielelezo kutoka Brela kama kweli Diamond hamiliki Wasafi. hizi hear say zenu na upotoshaji kutoka kwa Mange havina mashiko.WCB ni Kusaga Clouds ni Kusaga....Mnachezewa akili ili MPIGWE pesa hakuna beef wala nini ni mbinu za kibiashara kukamata MAZWAZWA na mtapigwa sana pesa.