King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sawa Mkuu,wataalamu kutoka brela wataweka na ndugu wa joe watakuja kuweka wazi mambo yakija kuharibika(kudhulumiana).Hebu thibitisha kwa kutuwekea vielelezo kutoka Brela kama kweli Diamond hamiliki Wasafi. hizi hear say zenu na upotoshaji kutoka kwa Mange havina mashiko.
Bila chembe ya shaka we ni mgosi hahahahahaaaAhahahahaahahaahaha mlizoea kula pesa wenyewe , mwaka huu lazima mavi yamitoke
Achana na hiyo festival,yan Chibu angeamua tu kutangaza show ya pek yake uwanja wa uhuru nov 24 hao CMG wangepotea itakua hiyi sasa Wasafi Festival iliyobeba vichwa kibao😂 Hawaamini wanachokiona🙌🙌🙌 Mapinduzi ya burudaniBado siku kadhaa ili tushuhudie miamba mitatu ikitunishiana misuli katika kuonesha nani ana nguvu kuzidi mwenzake..
siku ya trh 24 nchi hii itasimama kwa muda kucheki pambano la nani atakuwa na mafuriko!!..iko hivi. ..
1.Ali kiba atakuwa Kahama
2.Fiesta itazinduliwa dar
3.Wasafi festival Live in Mtwara
yetu machoooooooooo!!
Hapana mkuu mimi ni mtanzania mwenye asili ya kanda ya ziwa , karibu sana kanda ya ziwa ahahahhahahhahahBila chembe ya shaka we ni mgosi hahahahahaaa
hakika hawawezi amini wanachokiona sanaa kweli imezaliwa upyaaaa , walikuwa wamejimilikisha wasanii hawaAchana na hiyo festival,yan Chibu angeamua tu kutangaza show ya pek yake uwanja wa uhuru nov 24 hao CMG wangepotea itakua hiyi sasa Wasafi Festival iliyobeba vichwa kibao😂 Hawaamini wanachokiona🙌🙌🙌 Mapinduzi ya burudani
Ahahahahaahahaahaha mkuu wewe kweli balaaaaaSawa Mkuu,wataalamu kutoka brela wataweka na ndugu wa joe watakuja kuweka wazi mambo yakija kuharibika(kudhulumiana).
Hahaha Kanda ya ziwa hawezi kuitwa mshahara hata haya maneno "yamitoke,Namiambia" hawayajui,mambo ya Tanga hayo👌Hapana mkuu mimi ni mtanzania mwenye asili ya kanda ya ziwa , karibu sana kanda ya ziwa ahahahhahahhahah
Ahahahahaahahaahaha mkuu hayo maneno ni maarufu Tanga, ila hata sisi watoka mbali tunajichanganya tunapata harufu , majina yetu haya mashalaa, mshahara, mashauri , nitakuja kuoa tanga mkuu unipokee ahahahhaHahaha Kanda ya ziwa hawezi kuitwa mshahara hata haya maneno "yamitoke,Namiambia" hawayajui,mambo ya Tanga hayo👌
Sawa mkuu,basi tusubiri huo ukweli wa pili. Kwa sasa tunajua wasafi na kila kitu chini yake vinamilikiwa na Diamond Platnumz!Sawa Mkuu,wataalamu kutoka brela wataweka na ndugu wa joe watakuja kuweka wazi mambo yakija kuharibika(kudhulumiana).