24 hrs

24 hrs

Jamani kama kuna series zinafanana na hii pliz embu nitajieni ili nizitafute
 
Mike Novic ambaye ali act kama chief of staff, pamoja na cloe, the geek.
 
Kuna shop moja ya DVD za ukweli pale Jamhuri Street Dar-es-salaam. Bei cheee halafu quality ya juu kama mnazi utapata X-files, 24 na zingine nyingi
 
mi nilipenda sana pale jack anaenda kumchomoa charles logan kwenye gari yule mzee alivyokuwa anapiga kelele hata kabla jack hajamfiki huyu mzee mwoga ile mbaya
 
Sijawahi iona, hivi zipo seasons ngapi ili nianze mpango wa kuitafuta na kuiona?
 
mi nilipenda sana pale jack anaenda kumchomoa charles logan kwenye gari yule mzee alivyokuwa anapiga kelele hata kabla jack hajamfiki huyu mzee mwoga ile mbaya

Hio ni season 8, charles logan alikuwaa akimuogopa saana jack bizzo
 
Back
Top Bottom