Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
nunua gesi au hata utumie umeme kupikia. wacha bla bla bla mingi... unataka kupingana na tafiti?Dar Es Salaam ina watu 6 million na chini ya 10 tu ndiyo hawatumii Gas, bado hujaenda Mwanza,Arusha,Tanga,Mtwara etc. Watumiaji wa Gas Dar pekee yake ni zaidi ya hiyo asilimia 5% ,So stay with your fake stats....