Dar Es Salaam ina watu 6 million na chini ya 10 tu ndiyo hawatumii Gas, bado hujaenda Mwanza,Arusha,Tanga,Mtwara etc. Watumiaji wa Gas Dar pekee yake ni zaidi ya hiyo asilimia 5% ,So stay with your fake stats....
Certainly I knew particularly ndangani-ass ccm hard liners( Zezetas)will drop there usual macho line retro, bereru, wazungu, nyangau the list is endless.
This statistic is according to? Of course 99.99% wa huko Kenya ni Wakoloni Settlers wa Kizungu ambao wanamiliki ardhi yote ya Kenya hadi leo (Kenya is a Colonial Economy hadi leo). Mkibana pua mnageuzwa Zimbabwe