24: Season 8.

Eqlypz

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2009
Posts
4,065
Reaction score
643
Haya kwa wapenzi wa 24 ndio hivyo season 8 (inasemekana ni season ya mwisho) imeanza jana, kuto kuondoa uhondo kwa wale ambao hawajaangalia sitosema mengi.




 
Weeee mbona hamna lolote>?

Nini?

Jack Bauer na mwanae (Kim)


Pres. Hassan, Pres Allison na Chief of staff mpya wa Pres. Allison


CTU mpya

Brian Hastings (Director)


Cole Ortiz na Kate Sackhoff
 
Hizi dvd sijui zikoje, nilinunua moja yenye season 9 na sasa unadai season 8 ndio ya mwisho!
 
Hehehe ulinunua DVD za wahindi nini? Season 8 imeanza jana. Jack Bauer ni babu na officially sio mwajiriwa wa CTU.



Kwa wale wa US iko Fox.

Labda za Wahindi, TZ kaazi kweli kweli!
 
Hizi dvd sijui zikoje, nilinunua moja yenye season 9 na sasa unadai season 8 ndio ya mwisho!

braza mimi na wewe tunaangalia zile za kuibia hata mimi nimeishia season 9 ila hii aloweka mkuu wapa sijaiona. sie tunalishwa sumu tu hahaaaaa as usual
 
dah!
mambo mazuri sana haya!
i love the seriez
 
Hizi dvd sijui zikoje, nilinunua moja yenye season 9 na sasa unadai season 8 ndio ya mwisho!
ile ni sio season nine,ni utangulizi wa season 8..

ile movie nadhani jac alikuwa sierra leone au sio?

inaitwa REDEMPTION

ni movie tu
 
Wakuu, inapatikana online, kwa sisi tusojua tuipeje????
 
Wakuu inapatikana online??? kwa sisi tusiojua tunaipataje??
 
ile ni sio season nine,ni utangulizi wa season 8..

ile movie nadhani jac alikuwa sierra leone au sio?

inaitwa REDEMPTION

ni movie tu

Hapana, ni pale Jack Bauer alipoathiriwa na gesi ya sumu, Tony Almeida wakati huo alikuwa ana-act against Jack na CTU! Kim alipewa taarifa za kuumwa kwa baba yake na bahati mbaya ugonjwa huo uliotokana na gesi ya sumu hauna dawa lakini madaktari walhdai wangeweza kufanya majaribio ya kutafuta tiba, hata hivyo ni mpaka cell za mtu wa karibu zipatikane. Japokuwa Jack hakutaka Kim ajitokeze kutoa cells zake lakini Kim alikubali baadaye...Hiyo ndio Season 9 ya Kihindi! Hayo mambo ya Sierra Leone (Sangala?) ya REDEMPTION yalikuwa kwenye Season 7 au 8 ya Kihindi!
 
sasa hiyo ya redemption ya sierra leone na hiyo ya toni akiwa against kaziangalie kwa makini,utagundua kuwa:
REDEMPTION-ni episode ya kwanza ya season eight
hiyo wanayoita 9 ni mwendelezo wa redemption baada ya jac kurudi kutoka africa
hiyo wanayoiita 9 HAIJAISHA.ina episode kama nane hivi...!kuna kumi na sita ziko pending

UTAHITIMISHA kwamba season 8 bado haijaisha....!
 

Goeff nadhani mkanganyiko unatoke kwa sabau hizi kitu zipo za aina 2, zetu zile za Zhong Hua na zile za ukweli....zile za ukweli mtiriko wake uko tofauti na za mchina. nilienda kwa wale wanaouza za ukweli kipindi kile seaason 9 feki imetoka nikauliza wakanishangaa!!!
 
...THEY ARE TOO COMMERCIAL!wanajua wakikwambia season nine ni lazima utanunua tu!.....

ukweli ni kwamba hata season 8 haijakwishnei

well,for now nakuchagulia ALIAS.it's one of the best series.nipo kwenye season ya tano sasa.

you can have one and two from me kama utapenda

I LIKE THEM MOVIES AND SERIES!....
 

Mkuu,Redemption ni movie ambayo ndo kiini cha visa vilivyopo season 7 na si season 8(season 8 ndo kwanza imeanza kuoneshwa jana)...Halafu,katika Redemption si kwamba Jack alikuwa Sierra Leone,bali alikuwa katika nchi ya 'kifiction' ya Sangala(Afrika Magharibi) ambako ndiko wanatokea akina Ike Dubaku,muasi General Benjamin Juma,Youssou Dubaku,Waziri mkuu Ule Matobo n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…