Kama vp unaweza kuzinyonya(episodes) kwa kuzidowload
bure hapa
http://www.torrentz.com/search?q=24 unachotakiwa kufanya ni kuclick tu hapo kwenye torrent(mfano 24 S08E01) ukishaclick itakupeleka hapa
http://www.torrentz.com/6c6871a3034aed9e5666822f416156d72977e757 click mojawapo kati ya hizo(mfano thepratebay) then itakupeleka hapa
http://thepiratebay.org/torrent/5288175/24.S08E01.HDTV.XviD-2HD.[VTV].avi baada ya hapa unatakiwa uclick
Download this torrent,ukisha click hapo hiyo torrent itaenda moja kwa moja kwenye
Bittorrent software ambayo ni maalum kwa ajili ya kudownload torrents za aina yoyote ile(Miziki,movies,images n.k)....
NB;
Ni lazima kwanza udownload na kuinstall Bittorrent software kabla hujaanza kufanya kitu chochote,unaweza kutumia
Vuze(
http://www.vuze.com/) ama
Ares(
http://aresgalaxy.sourceforge.net/) au waweza kutumia
Bitlord(
http://www.soft32.com/download_123574.html)...Ni muda mchache sana unatumika kudownload na kuinstall software hizi na ni
free of charge