25,000Tsh cat wanted

25,000Tsh cat wanted

Katabazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2007
Posts
353
Reaction score
22
Ndugu zangu wana JF,
Nahitaji paka mdogo wa kufuga kwa gharama isiyozidi 25elfu, awe mdogo, asiwe mweusi na awe katika wenye uwezo wa kupambana na panya ikibidi.Inabidi awe DSM nitamfuata mwenyewe popote alipo DSM..
Natanguliza shukurani.
Katabazi* katabazi@hotmail.com
 
paka yupo,ana rangi orange na nyeupe hivi,jirani yangu paka wake amezaa,so huwa kanapenya getini kwangu kupiga misele,ngoja nikalie timing nitakupigia uje kukachukua 🙂) 🙂 sina mbavu LOL
ntaongea na neighbour wangu ,if he agrees ntakwambia uje kukachukua.
 
Unataka wa kununua tu, wa bure vp hutaki? Yupo mahali my daughter alipewa na Babu yake na sihitaji mapaka wengi, sikumchukua.
 
Unataka wa kununua tu, wa bure vp hutaki? Yupo mahali my daughter alipewa na Babu yake na sihitaji mapaka wengi, sikumchukua.
Renegade,nitashukuru zaidi kama ni wa bure,kwa hiyo nikuone vipi mkuu?ni urgent! natanguliza shukurani.
Katabazi.
 
paka yupo,ana rangi orange na nyeupe hivi,jirani yangu paka wake amezaa,so huwa kanapenya getini kwangu kupiga misele,ngoja nikalie timing nitakupigia uje kukachukua 🙂) 🙂 sina mbavu LOL
ntaongea na neighbour wangu ,if he agrees ntakwambia uje kukachukua.
Hako asante!kanakokimbia kwao si hata kwangu katakuwa kanakimbia kwenda kwa watu?nakushukuru.
Katabazi!
 
Unataka wa kununua tu, wa bure vp hutaki? Yupo mahali my daughter alipewa na Babu yake na sihitaji mapaka wengi, sikumchukua.

Ngoja nimfanyie utaratibu, Kesho nitakutafuta ili tupange unampataje.
 
Jamani na mi nataka paka ila awe na manyoya mengi na rangi nzuri plse
 
Paka akifa au akitoweka tatizo la panya liko pale pale, angalia jinsi gani utibu hilo tatizo la panya. Yako mambo mengi unaweza kufanya including famigation, kuziba matundu na kufanya usafi nje na ndani ya nyumba. I hope huishi karibu na dampo!
 
Nawashukuru wote walionisaidia kwa mawazo na muungwana mmoja kishanipatia paka mzuri and attractive,kwa hiyo sihitaji tena paka.
Ndugu Mdee,hiyo function ya paka uliyosema kwangu ilikuwa ni endapo itabidi,lakini umenionyesha kuwa una utalamu na jambo la kuzuia panya.
Naomba unisaidie kwenye hili kama unaishi kwenye flat yenye ghorofa 8 na kuna tenants 30 ambao wako tayari kuyafanya hayo yote na panya wako kwenye electrical counduits za jengo zima,pipe za maji na underground unafikiri hiyo njia itafaa? Na lingine kama suala ni paka kutoweka au kufa,si nafuga paka na huku napata na hiyo huduma akifa nafuga mwingine?kama kwa kuwa nae paka hatogusa ndani ya nyumba. Na je ni kweli panya huwa ana nusa uwepo wa paka?
Nadhani hiyo njia yako ni kama panya hawazidi 100,lakini wakifikia idadi ya 1000 nadhani inabidi uwe na njia mpya.
 
Back
Top Bottom