Ndugu zangu wana JF,
Nahitaji paka mdogo wa kufuga kwa gharama isiyozidi 25elfu, awe mdogo, asiwe mweusi na awe katika wenye uwezo wa kupambana na panya ikibidi.Inabidi awe DSM nitamfuata mwenyewe popote alipo DSM..
Natanguliza shukurani.
Katabazi* katabazi@hotmail.com
Renegade,nitashukuru zaidi kama ni wa bure,kwa hiyo nikuone vipi mkuu?ni urgent! natanguliza shukurani.Unataka wa kununua tu, wa bure vp hutaki? Yupo mahali my daughter alipewa na Babu yake na sihitaji mapaka wengi, sikumchukua.
Hako asante!kanakokimbia kwao si hata kwangu katakuwa kanakimbia kwenda kwa watu?nakushukuru.paka yupo,ana rangi orange na nyeupe hivi,jirani yangu paka wake amezaa,so huwa kanapenya getini kwangu kupiga misele,ngoja nikalie timing nitakupigia uje kukachukua π) π sina mbavu LOL
ntaongea na neighbour wangu ,if he agrees ntakwambia uje kukachukua.
Unataka wa kununua tu, wa bure vp hutaki? Yupo mahali my daughter alipewa na Babu yake na sihitaji mapaka wengi, sikumchukua.