25 Bilion DOLLARS, naweza kuwa tajiri namba moja hapa Tanzania

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,174
Reaction score
16,794
Zari ra mentari rimenidondokea! Reo kwenye kusagurasagura kwenye mitumba nikakutana na ULISI wa wadhungu!!

Maneno kidogo Ulisi ni mwingi.
Kura chuma icho kabura tiiarai awajastukia Hulisi
FB_IMG_1695111071554.jpg
 
Mugabe kati ya watawala bogus kuwepo Duniani alitumia vibaya PhD zake kuibomoa nchi yake kama alivyofanya kamuzu Banda na savimbi.
Sisi waafrika elimu kwetu ndio chanzo Cha ufukara wetu
 
Dodoma aka Mirembe City naona inatanua mipaka yake utawala.
Wee kweli matter call na una u chalk mwingi saana!! Kabla ya kujimwambafy angalia kwanza mada ipo jukwaa gani!! Yaani we unataka jukwaa la utani tulete vitu serious kama report ya CAG??

MAZA KANYWA FANTA, Antananarivo mkubwa! Kichwa kama Azerbaijan, sura imepinda kama Kyrgyzstan??
Muone kwanza miguu minyoofu kama Uzbekistan.

Ukinijibu wewe ni Liechtenstein msimbe
 
Tuliza kinyeo hiko we bwege.

Acha taarab mrembo tutakupakata.
 
Back
Top Bottom