25 things not to say when doing sex

yah....halafu kama mwanaume....ukiulizwa hiyo no 1....ni kifungu gani cha sheria ya mapenzi unatumia kujibu hilo swali......?

hahahaha! ina maana ni kadogo mno hata hukasikii? Mh! na wewe muulizaji utakuwa na ualakini. Hivi jamani, kwenye mapenzi kama kitu hujakipenda ukakaa unakufa? Mh! kazi kweli kweli.
 
hahahaha! ina maana ni kadogo mno hata hukasikii? Mh! na wewe muulizaji utakuwa na ualakini. Hivi jamani, kwenye mapenzi kama kitu hujakipenda ukakaa unakufa? Mh! kazi kweli kweli.

ungefanyaje??
 

no 17!ever
 

32.I told yu to come with the house rent
33.Do you know how i love .........'S chest?
34.My mother said a good woman satisifies her man
35.Cant you see am struggling?
36.I think your brother is courting me
37.Girl you make it like ................
 
ungefanyaje??

Majumba, nakaa kimya na kumpa moyo aongeze juhudi. Mambo mengine ni too personal kumwambia mwenzako huwezi, huna mvuto, hujui kitu. Hivi kweli hata hako kadogo alikofanya shukurani haipo? Tujifunze kuwa na shukurani hata kwa dogo
 
dahhhh umesahau moja na muhimu kuliko zote hizo..
usitaje jina la mtu mwingine .. mfano jamaa anaitwa Ally we unamwita Jastin.
au bibie anaitwa Julian we unamwita Khadija.
 
Reactions: SMU
Hiyo 13 siipendi mimi..............anakuuliza hivyo wakati mnatumia condom sijui ujibuje sasa ila hiyo 23 nayo mmmhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…