Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Bora na iwe hivo akina bashite wanapotuvuruga kitaifa basi akina samatta watufariji kimataifa
Ajiepushe tu na siasa za hapa kwetu. Acheze mpira wala asitoe toe maoni ya kisiasa kwa siasa za huku. Hilo tu. Tunamuunga mkono sana. Tunamtakia mema katika maisha yake ya soka Ulaya na ulimwenguni pote.Safi sana.
Hahaha asibadili demu!Bora nae amemweka benchi mtu.....aangalie asijepotea kama supa tolu wa NBA.....asibadili demu!!![emoji124] [emoji443] [emoji445] [emoji444]
[emoji1] Kweli, madem wengine sio!Hahaha asibadili demu!
Wanakua nuksi!!![emoji1] Kweli, madem wengine sio!