+255 Champion Boy, Mbwana Samatta atajwa kama mchezaji wa kuangaliwa baada ya kufanya maajabu

+255 Champion Boy, Mbwana Samatta atajwa kama mchezaji wa kuangaliwa baada ya kufanya maajabu

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Ukurasa wa Twitter wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) waweka picha ya Mtanzania, Mbwana Ally Samatta na kumtaja kuwa ni mchezaji wa kuangaliwa. -

Mshambuliaji huyo hatari amefunga magoli sita katika michezo mitano ya mwisho aliyoichezea Klabu yake ya KRC Genk.

 
f4dea199eb5c420e8893d3887b96d9fa.jpg
 
Bora nae amemweka benchi mtu.....aangalie asijepotea kama supa tolu wa NBA.....asibadili demu!!![emoji124] [emoji443] [emoji445] [emoji444]
 
Back
Top Bottom