+255 Champion Boy, Mbwana Samatta atajwa kama mchezaji wa kuangaliwa baada ya kufanya maajabu

Vijana wengine changamkeni (any talent sio mpira wa miguu tu)...mwenzenu ameshafungua milango (same as diamond.platinumz)......mkapokee dola huko msaidie kuijenga nchi kwa kuendeleza familia na jamaa zenu hapa bongo. Wengine tulikua washabiki wa timu za ulaya sababu tu tulikua tukipenda.wachezaji kutoka afrika yani cameroon nigeria ivory coast etc....


 
Hahaha kaka hilo ni bango la uefa....watanzania wangapi umeshwaona kwenye bango hilo. Na hiyo CV ni kubwa hapo .....kwamba Samata kafunga bao 6 kwenye mechi 5.
Samata bado sana! Nasema bado sana japo amejitahidi lakini hajafikia level ya kuw mchezaji maarufu. Hata club na nchi anazochezea si za level kubwa. Wasiwasi wangu tukianza ''kumtukuza'' kwenye level hii na yeye atajiona amefika na kuishia hapo. Tunataka tumwone mwakani akipata club ya lvel ya juu na yenye ligi ya ushindani zaidi. Kwa level hii aliyo sasa kuna nchi nyingi za Afrika zimeshatoa wachezaji hivyo tujitahidi kupunguza kelele ili tusionekane malimbukeni sana!
 
Samatta bado???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena ndo ameishangaza dunia,ametoka nchi ya kibwegeeee halaf anafanya maajabi ww unasema bado,na ukumbuke ni juhud zake binafs hizo si kingine
 
huyu jamaa ni fundi sna but akitaka a2sue zaidi ni bora akaanzia france kbla ya kwend kweny ligi ngum zaid ila EPL simshauri!!
 
Reactions: SDG
Naomba MUNGU amsaidie:
Asilewe sifa, asivimbe kichwa, aongoze bidii kutafuta rekodi ya dunia, mafanikio na utajiri.
AMEN.
 
Tolu alikosa watu sahihi wanaomzunguka kwa ushauri alikuwa akirudi bongo ni kupiga watu mitama(TID) kwenye kumbi za starehe
Tolu mtu wa bata, alafu kikapu c unajua uhalisia wake, watoto wa kishua ndo zao, football hasa cha ndimu watoto wa uswaz sanaa sio watu wa bata sanaa, ila wapo waliojisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…