1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Hahaha,, atulee cha nje sio,!? Hahahah alafu asiwepo ktk hizi team flan flan, walipopita ye asipite hahah, samata janja sanaa, mtoto wa kitaa huyuWanakua nuksi!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha,, atulee cha nje sio,!? Hahahah alafu asiwepo ktk hizi team flan flan, walipopita ye asipite hahah, samata janja sanaa, mtoto wa kitaa huyuWanakua nuksi!!!
Ewaa, we umenipata!!!Wanakua nuksi!!!
Naskia ana duu wake wa Kibongo......abaki nae huyohuyoHahaha,, atulee cha nje sio,!? Hahahah alafu asiwepo ktk hizi team flan flan, walipopita ye asipite hahah, samata janja sanaa, mtoto wa kitaa huyu
Kijana matata hataki ujinga, ashaondoka naye ugaibun?Naskia ana duu wake wa Kibongo......abaki nae huyohuyo
Hahaha kaka hilo ni bango la uefa....watanzania wangapi umeshwaona kwenye bango hilo. Na hiyo CV ni kubwa hapo .....kwamba Samata kafunga bao 6 kwenye mechi 5.Ulichoandika na picha ni tofauti kabisa
Afadhali.Kijana matata hataki ujinga, ashaondoka naye ugaibun?
Tolu alikosa watu sahihi wanaomzunguka kwa ushauri alikuwa akirudi bongo ni kupiga watu mitama(TID) kwenye kumbi za stareheBora nae amemweka benchi mtu.....aangalie asijepotea kama supa tolu wa NBA.....asibadili demu!!![emoji124] [emoji443] [emoji445] [emoji444]
Basi mwororoh!!!Kijana matata hataki ujinga, ashaondoka naye ugaibun?
Kabisa.Afadhali.
Mwenza wa ujanani ndo ananoga
Mashabiki wa yanga hawaweziGoooo Samagoal...
Akicheza england nahisu nusu ya watanzania tutapeleka ushabiki kwenye hiyo timu
Samata bado sana! Nasema bado sana japo amejitahidi lakini hajafikia level ya kuw mchezaji maarufu. Hata club na nchi anazochezea si za level kubwa. Wasiwasi wangu tukianza ''kumtukuza'' kwenye level hii na yeye atajiona amefika na kuishia hapo. Tunataka tumwone mwakani akipata club ya lvel ya juu na yenye ligi ya ushindani zaidi. Kwa level hii aliyo sasa kuna nchi nyingi za Afrika zimeshatoa wachezaji hivyo tujitahidi kupunguza kelele ili tusionekane malimbukeni sana!Hahaha kaka hilo ni bango la uefa....watanzania wangapi umeshwaona kwenye bango hilo. Na hiyo CV ni kubwa hapo .....kwamba Samata kafunga bao 6 kwenye mechi 5.
Samatta bado???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samata bado sana! Nasema bado sana japo amejitahidi lakini hajafikia level ya kuw mchezaji maarufu. Hata club na nchi anazochezea si za level kubwa. Wasiwasi wangu tukianza ''kumtukuza'' kwenye level hii na yeye atajiona amefika na kuishia hapo. Tunataka tumwone mwakani akipata club ya lvel ya juu na yenye ligi ya ushindani zaidi. Kwa level hii aliyo sasa kuna nchi nyingi za Afrika zimeshatoa wachezaji hivyo tujitahidi kupunguza kelele ili tusionekane malimbukeni sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wachezaji wa bongo walikuwa kwenye evolution of soccer! Nadhani Samata kashafika stage ya Soccer sapience sapience!!
Tolu mtu wa bata, alafu kikapu c unajua uhalisia wake, watoto wa kishua ndo zao, football hasa cha ndimu watoto wa uswaz sanaa sio watu wa bata sanaa, ila wapo waliojisahau.Tolu alikosa watu sahihi wanaomzunguka kwa ushauri alikuwa akirudi bongo ni kupiga watu mitama(TID) kwenye kumbi za starehe