1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Kweli kabsaaAfadhali.
Mwenza wa ujanani ndo ananoga
Tell them,waache viduku ktk istagramVijana wengine changamkeni (any talent sio mpira wa miguu tu)...mwenzenu ameshafungua milango (same as diamond.platinumz)......mkapokee dola huko msaidie kuijenga nchi kwa kuendeleza familia na jamaa zenu hapa bongo. Wengine tulikua washabiki wa timu za ulaya sababu tu tulikua tukipenda.wachezaji kutoka afrika yani cameroon nigeria ivory coast etc....
Kaishangaza dunia ya wapi? Wewe umejifungia hapo Bongo unadanganywa kaishangaza dunia? Kama kaishangaza dunia na mchezaji kama Wanyama anayechezea ligi kuu ya Uingereza basi atakuwa ''ameiua'' dunia. Na of course mchezaji yoyote hufika level ya juu kwa juhudi zake binafsi... wewe ulifikiri wanafika level ya juu kwa juhudi za waganga wa kienyeji?Samatta bado???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena ndo ameishangaza dunia,ametoka nchi ya kibwegeeee halaf anafanya maajabi ww unasema bado,na ukumbuke ni juhud zake binafs hizo si kingine
Bashite katika ubora wakoTunamtakia mafanikio mema lakini asiende aseno hata kwa dawa.bora aende leicester city kuliko arsenal wasiojielewa hadi bukta wanapiga mlegezo.
Kuliko aende aseno bora arudi bongo akacheze mbeya mbao fc.
Foward za yanga na simba hizo...mechi ishirini goli mojaSafi sana
Wengine kila siku kwa kalomanzila
France akafanye nini...tena...kupoteza muda...huyu ni strait Arsenalhuyu jamaa ni fundi sna but akitaka a2sue zaidi ni bora akaanzia france kbla ya kwend kweny ligi ngum zaid ila EPL simshauri!!
france ni aende kukomaa zaid kisoka ,pale Arsenal mze AW atam2mia zaid kutokea pembeni ambapo kwa matakwa ya EPL itamuwia ngum ku perform.France akafanye nini...tena...kupoteza muda...huyu ni strait Arsenal
Wanakuwa na mibalaa, halafu ni kosa sana eti ukishakuwa star unamuacha yule demu wako ulokuwa naye awali na alikupenda hata kabla hujawa star unakimbilia kwa wenye nuksi hao unajua hiyo inakuwa kama laana mambo yanaeza yasikunyokee tena.[emoji1] Kweli, madem wengine sio!
Shindwaaaa arsenal ni tusi bora mbao fc.France akafanye nini...tena...kupoteza muda...huyu ni strait Arsenal
Anataka akawe kama Adebayor!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shindwaaaa arsenal ni tusi bora mbao fc.
Wewe unataka kupigwa na wapenzi wa hizo timu. Ngoja nikae hapa nishuhudie kichapo.Foward za yanga na simba hizo...mechi ishirini goli moja
Hivi Kidoti sio nuksi kweli maana mh.[emoji1] Kweli, madem wengine sio!
Mbona wanadai Mondi amepita na yupo juu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hivi Kidoti sio nuksi kweli maana mh.
Mbona wanadai Mondi kapita .....na yupo juu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hivi Kidoti sio nuksi kweli maana mh.
Pita kimbia lakini sio uweke makazi.Mbona wanadai Mondi kapita .....na yupo juu[emoji125] [emoji125] [emoji125]