+255 Champion Boy, Mbwana Samatta atajwa kama mchezaji wa kuangaliwa baada ya kufanya maajabu

+255 Champion Boy, Mbwana Samatta atajwa kama mchezaji wa kuangaliwa baada ya kufanya maajabu

Vijana wengine changamkeni (any talent sio mpira wa miguu tu)...mwenzenu ameshafungua milango (same as diamond.platinumz)......mkapokee dola huko msaidie kuijenga nchi kwa kuendeleza familia na jamaa zenu hapa bongo. Wengine tulikua washabiki wa timu za ulaya sababu tu tulikua tukipenda.wachezaji kutoka afrika yani cameroon nigeria ivory coast etc....


053c18350acc66bf99c5944068f7620d.jpg
Tell them,waache viduku ktk istagram
 
Samatta bado???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena ndo ameishangaza dunia,ametoka nchi ya kibwegeeee halaf anafanya maajabi ww unasema bado,na ukumbuke ni juhud zake binafs hizo si kingine
Kaishangaza dunia ya wapi? Wewe umejifungia hapo Bongo unadanganywa kaishangaza dunia? Kama kaishangaza dunia na mchezaji kama Wanyama anayechezea ligi kuu ya Uingereza basi atakuwa ''ameiua'' dunia. Na of course mchezaji yoyote hufika level ya juu kwa juhudi zake binafsi... wewe ulifikiri wanafika level ya juu kwa juhudi za waganga wa kienyeji?
 
Tunamtakia mafanikio mema lakini asiende aseno hata kwa dawa.bora aende leicester city kuliko arsenal wasiojielewa hadi bukta wanapiga mlegezo.

Kuliko aende aseno bora arudi bongo akacheze mbeya mbao fc.
Bashite katika ubora wako
 
huyu jamaa ni fundi sna but akitaka a2sue zaidi ni bora akaanzia france kbla ya kwend kweny ligi ngum zaid ila EPL simshauri!!
France akafanye nini...tena...kupoteza muda...huyu ni strait Arsenal
 
France akafanye nini...tena...kupoteza muda...huyu ni strait Arsenal
france ni aende kukomaa zaid kisoka ,pale Arsenal mze AW atam2mia zaid kutokea pembeni ambapo kwa matakwa ya EPL itamuwia ngum ku perform.
 
[emoji1] Kweli, madem wengine sio!
Wanakuwa na mibalaa, halafu ni kosa sana eti ukishakuwa star unamuacha yule demu wako ulokuwa naye awali na alikupenda hata kabla hujawa star unakimbilia kwa wenye nuksi hao unajua hiyo inakuwa kama laana mambo yanaeza yasikunyokee tena.
 
Back
Top Bottom