Goooo Samagoal...
Akicheza england nahisu nusu ya watanzania tutapeleka ushabiki kwenye hiyo timu
Sikusapoti. Kila anaefanya mazuri apewe pongezi zake hapo hapo. Hakuna MTU aishie milele. Level aliyoifikia Samata hakuna mchezaji Wa soka nyakati hizi kwa hapa bongo . tunatakiwa tumpongeze na kumpa hamasa ya kusonga mbele na haipaswi kuacha kumpongeza et kwa kuogopa atalewa sifa. Vip ikiwa halewi hizo sifa na hatujampongeza hauoni kama hatutamtendea haki?Samata bado sana! Nasema bado sana japo amejitahidi lakini hajafikia level ya kuw mchezaji maarufu. Hata club na nchi anazochezea si za level kubwa. Wasiwasi wangu tukianza ''kumtukuza'' kwenye level hii na yeye atajiona amefika na kuishia hapo. Tunataka tumwone mwakani akipata club ya lvel ya juu na yenye ligi ya ushindani zaidi. Kwa level hii aliyo sasa kuna nchi nyingi za Afrika zimeshatoa wachezaji hivyo tujitahidi kupunguza kelele ili tusionekane malimbukeni sana!
Lakini isiwe ArsenalGoooo Samagoal...
Akicheza england nahisu nusu ya watanzania tutapeleka ushabiki kwenye hiyo timu
EPL ina ugumu gani!!!? De bruyne, Ndindi na wengineo wametoka club aliyopo samatta na bado wanakimbiza Epl. Acheni upinzani wa kichawi!!! Mbwana ameiva na ni wakati sahihi kuingia EPL, LAlLIGA au ligi yoyote ile Duniani. Kwa taarifa yako Genk ya samatta imeitoa Gent europa league na ukumbuke hiyo gent iliyotolewa na Genk ndiyo iliyoitoa Totenham ya ligi yenu pendwa ambayo ni yapili kwenye msimamo pale EPL. Acheni uchawi...huyu jamaa ni fundi sna but akitaka a2sue zaidi ni bora akaanzia france kbla ya kwend kweny ligi ngum zaid ila EPL simshauri!!
acha uongo ww ukipata pesa tafuta mwanamke wa hadhi ya juuWanakuwa na mibalaa, halafu ni kosa sana eti ukishakuwa star unamuacha yule demu wako ulokuwa naye awali na alikupenda hata kabla hujawa star unakimbilia kwa wenye nuksi hao unajua hiyo inakuwa kama laana mambo yanaeza yasikunyokee tena.
Mkuu kuna tweet niliiona ya wakala mmoja wa Juventus wanasema kwamba mwakani wataanza kumpigia misele Samatta.EPL ina ugumu gani!!!? De bruyne, Ndindi na wengineo wametoka club aliyopo samatta na bado wanakimbiza Epl. Acheni upinzani wa kichawi!!! Mbwana ameiva na ni wakati sahihi kuingia EPL, LAlLIGA au ligi yoyote ile Duniani. Kwa taarifa yako Genk ya samatta imeitoa Gent europa league na ukumbuke hiyo gent iliyotolewa na Genk ndiyo iliyoitoa Totenham ya ligi yenu pendwa ambayo ni yapili kwenye msimamo pale EPL. Acheni uchawi...
Acha longolongo wewe tatizo umekariri hujui kuna maagent wanazunguka ligi za ulaya kuangalia talents. Usije shangaa jamaa yupo bundesliga timu kama FC Schalke inamfaa.Samata bado sana! Nasema bado sana japo amejitahidi lakini hajafikia level ya kuw mchezaji maarufu. Hata club na nchi anazochezea si za level kubwa. Wasiwasi wangu tukianza ''kumtukuza'' kwenye level hii na yeye atajiona amefika na kuishia hapo. Tunataka tumwone mwakani akipata club ya lvel ya juu na yenye ligi ya ushindani zaidi. Kwa level hii aliyo sasa kuna nchi nyingi za Afrika zimeshatoa wachezaji hivyo tujitahidi kupunguza kelele ili tusionekane malimbukeni sana!