29 companies expressed interest in Dar-Kampala gas pipeline

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Sunday 30, September 2018 by Bloomberg
Tanzania sees Uganda gas pipeline kicking off in three years

The Tanzania Petroleum Development Corp. is confident a natural-gas pipeline to Uganda will start in 2021, according to acting Managing Director Kapuulya Musomba.
PRINT THIS ARTICLE
Dar_Es_Salaam_with_maritime_control_tower_on_foreground_Credit_Igor_Grochev_ss_339374906.jpg

At least 29 companies have shown interest in conducting a feasibility study and constructing the pipeline that will pump gas to western Uganda to power iron and steel factories, Musomba said in an interview in Tanzania’s commercial hub, Dar es Salaam. He didn’t provide any names.

“We expect the feasibility study to be concluded by June next year,” he said on the sidelines of an oil and gas conference. Funding will be sought in 2019 and 2020 “and then construction will start in 2021.”

TPDC set the deadline for submission of tender documents to conduct the study as 24 August. Tanzania and Uganda have already signed an agreement for the pipeline that will start in Dar es Salaam, pass through Tanga port on the Indian Ocean and Mwanza, a port city on Lake Victoria, before crossing to Uganda.

The two nations plan a separate pipeline to transport Uganda’s crude to Tanga port. Tanzania is positioning itself to become an energy hub within a decade and plans to supply gas, of which it has about 57 trillion cubic feet of proven reserves, to other east African nations.

“About 10 to 15 regions in East Africa will benefit from the pipeline that will also serve as a catalyst for oil and gas exploration,” Musomba said.

The state intends to connect seven factories with natural gas during this financial year and at least 80 companies in the next four years, he said.

Musomba is optimistic gas will finally be pumped from the $30 billion planned liquefied natural-gas plant in Lindi region by 2026-27. Negotiations for the stalled project are still on with companies including Exxon Mobil Corp., and Equinor ASA, he said.
Construction of the plant that will have the capacity to process 10 million metric tons annually was initially scheduled for completion in 2020, according to TPDC. When complete, it will add to projects in Mozambique, making the region a hub for the fuel.

Northerners are in big agony
Everything is under the someone 😂😂😂😂

They have been left barefooted
 
Kama pipeline ya mafuta ndio mmeshindwa kujenga, ya gas ndio mtaweza?
 
Hili sio jambo la kufanyia utani, Kenya mnalazimika kufikiria kwa makini ili muweze kujiunga katika huu mtadi wa bomba la gesi, hii gesi itapunguza kwa kiwango kikubwa sana matumizi ya kuni na gas ya kupikia toka nje, viwanda vitaacha kutumia umeme ambao ni ghali sana.
 
Mradi mzuri tatizo nyie huwa mna miradi mizuri lakini tatizo ni utekelezaji. Mkimaliza kujenga, tutajiunga.
 
Tatizo la utekelezaji ni lenu, mnapenda kufanya vitu bila mipango. Kama mnataka kuwemo ilibidi mseme sasa hivi wakati feasibility inafanyika na nyinyi mjumuishwe. Baadae ukikamilika mtataka mje mjenge haraka haraka kama SGR yenu mwishoni mnaambulia vitu vya aibu. Tatizo Kenya kila kitu ni Siasa, mchumi yoyote asingejiuliza kuji unga kwenye huu mradi pamoja na E.A Crude oil pipeline ila wanasiasa kwa malengo yao wameamua kuanza kubeba mafuta kwa malori!!!
 
Mradi mzuri tatizo nyie huwa mna miradi mizuri lakini tatizo ni utekelezaji. Mkimaliza kujenga, tutajiunga.
Tatizo la Kenya ni kufanya miradi bila planning, muhimu kwa Kenya ni sifa za kisiasa, Tanzania tunatumia muda mrefu sana katika planning phase, ndiyo sababu tunakataa mara nyingi kujiunga ktk miradi ya pamoja ya EAC.

Ukichunguza kwa makini, Kenya imeanzisha miradi mingi sana lakini mingi imeshindikana kuanza, au imeanza lakini imekwama katikati, na ile inayoendelea inakosa wadhamini kwasababu ya kutokua na faida za kiuchumi, mfano mzuri ni Greenfield terminal, crude oil pipeline, single tourists visa, Lamu port, etc.

Miradi yote iliyoanzishwa Tanzania inaendelea ndani ya muda uliopangwa ukiacha Bagamoyo port ambayo kwa sasa serikali haihusiki tena kwa sababu haina share tena, mfano wa miradi ya serikali iliyokamilika ni, daraja la Kigamboni, BRT, Flyover ya TAZARA, JKN III, Ununuzi wa ndege mpya 7, ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa kuliko zote East and Central Africa ya Mloganzila.

Ninaridia tena, huu ndio muda muafaka wa kujiunga na wining team before is too late, there is nor guarantee if will be ready to include Kenya in this important project after master plan has been designed.
 
Ulivyosema ni sawa ila mimi nakueleza jinsi ambavyo Wakenya huwa wanafikiria. Sisi hadi tuone pipeline ndio utatuona tunakuja huko Dar feasibility study au benchmarking. Hata hapa Kenya wakati wa Moi hakuna mradi mkubwa iliyomalizika kwa miaka zaidi ya ishirini.Wakati wa Kibaki ndio tuliona serikali ikiwa serious na kujenga Thika road ndio watu wakajua kumbe Kibaki hataki mchezo anachapa kazi. Nadhania ni venye hatuwaamini nyinyi Watanzania kwamba mnaweza maliza miradi mikubwa. Mkimaliza, mtatuona huko, hata project ikiwa katikati tutajaa huko lakini kwa sasa tunajitia hamnazo.
 
Nimekuonyesha miradi mikubwa ambayo imeshatekekezwa na kukamilika, sasa mnataka kuona miradi gani zaidi ili mjue kwamba Tanzania ni doer?, hapo sijataja bomba la gasi toka Mtwara hadi Dar lililojengwa kwa $1.3B, sasa hivi zaidi ya viwanda 50 vikubwa hapa nchini vinatumia hii gasi ktk uzalishaji na Dangote anaunganishiwa hivi karibuni.

Kuhusu kusubiri kwanza, hiyo haitowezekana kama baadae mtataka kujiunga kwasababu bomba linakuwa designed kutokata na mahitaji, kama Kenya hamtoonyesha mahitaji yenu ili yaingizwe katika designing ya ukubwa na capacity, then hata baadae haitowezekana tena, labda lijengwe bomba lingine specific for Kenya, either now or none.
 
Kama pipeline ya mafuta ndio mmeshindwa kujenga, ya gas ndio mtaweza?

Tunayo gas pipeline kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam, viwanda vingi hasa vya Cement vimeungwa kwenye hii pipeline, plus Kinyerezi I, II na III power plants zimeungwa kwenye hili bomba.. issue ni kuwa linatumika under capacity, only 30% I think, so ina maana kuna potential kubwa.

Ambacho Tanzania inapigana kukifanya sasa hivi ni ujenzi wa kiwanda cha LPG ambacho ni ExxonMobil na Equinor AS (zamani Statoil) ndio shareholder wakubwa, if everything goes well basi by 2026 kitaanza kujengwa maana it is a serious investment about $30 Billion zitawekezwa hapo.. na plan ni kukiunga na fields za gesi za Mozambique and in 2030 Tanzania itakuwa energy exporters.

Narudia tena,, waTAnzania hawapo slow..we are very CAREFUL na ndio maana tunafanikiwa.
 
Very Good for Uganda..Gas is cheap and will bring down cost of manufacturing..Kenya needs this gas more than any country in EAC but is too proud to approach JPM
Ni kweli kabisa, Kenya inahitaji sana hii gesi ili kushusha gharama za uzalishaji ambazo tayari kwa sasa zipo juu kuliko nchi zote za EAC, other wise prodiction costs will make Kenya's manufactured goods less competitive.

Majority of Kenyans especially political leaders know the importance of this gas pipeline from Tanzania to Kenya, but they are too proud to approach JPM, ironically during of Kenyan doctors strike, Uhuru approached JPM for assistance, why not on this very important issue?
 
Mbona msitume proposal kwa serikali ya Kenya. Hii chuki kati ya Kenya na Tanzania sijui ilianza lini lakini ina madhara kwetu sote. Tunahitaji gas yenu lakini as long as tunabishana kwa mambo madogo kama mizigo kuzuiliwa kwa border, nadhani hio ndio inafanya Viongozi wa Kenya kuogopa kuingia deal incase mfereji wa gas ikatwe, kisa eti tumebishana tu kidogo. Kuna kutoaminiana kwa pande zote mbili. Ona vile Kenya ina uhusiano wa karibu na Uganda, i wish ingekuwa hivyo hivyo na Tanzania lakini hii vita ilianza kitambo sana, enzi za akina Jomo Kenyatta na Nyerere, hatuwezi kuisuluhisha
 
Tanzania has nothing to lose, The proliferation of gas vendors in kenya is due to the cheap Tz Gas..The gas imported from Qatar et al by shell total into kenyan market is still too expensive by atleast 500 ksh per 13 kg cylinder cant compete with Tz gas
 
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana nenda upande wowote unaotaka ni mali tupu kaskazini mashariki magharibi kusini kote ni utajiri mtupu tumejaliwa ardhi yenye rutuba kilomita za mraba na kilomita hali ya hewa nzuri ni nchi pekee inayopakana na maziwa matatu makubwa,Victoria,Tanganyika,Nyasa,upande wa mashariki tuna ukanda mrefu tu wa bahari getaway na mazao ya bahari,tuna visiwa vikubwa na vidogo vingi tu!!! Mbuga za wanyawa hakuna mfano wake duniani,mlima Mrefu Kilimanjaro eti bado pia tuna madini na gesi asilia nyingi tu kila siku mali mpya inagundilika huko ardhini mafuta,uranium,dhahabu, chuma, Tanzanite,Almasi,Nickel.......graphite ya kutosha tu kwa ajili ya future cars,dah sijutii kuzaliwa Tanzania.
 
Tunachomuomba Mola wetu azaidi kutupatia amani,upendo,mshikamano,visionary and patriotic leaders wanaotanguliza Tanzania kwanza!!!! Sitoshangaa siku Tanzania ikiwa donor country!!!truly I'm in Love with Tanzania!!!!!
 
Mkuu unawananga sana ufipa, ungepunguza kidogo. Upande huu tunakaa kitaifa zaidi. Wakija na kejeli zao wata tutoa kwenye reli tuta anza kumwaga mtama kwenye kuku. Ni ushauri tu

hiyo inaitwa HEKIMA na UTAMBUZI.
hata mke wako akikuudhi, unasubiri wageni waondoke ndiyo mpigane mkwala. wakiwepo unazuga kana kwamba hakuna issue yoyote.
Teh teh teh tihiii

CC: kadoda11
 
Mbona msitume proposal kwa serikali ya Kenya. Hii chuki kati ya Kenya na Tanzania sijui ilianza lini lakini ina madhara kwetu sote. Tunahitaji gas yenu lakini as long as tunabishana kwa mambo madogo kama mizigo kuzuiliwa kwa border, nadhani hio ndio inafanya Viongozi wa Kenya kuogopa kuingia deal incase mfereji wa gas ikatwe, kisa eti tumebishana tu kidogo. Kuna kutoaminiana kwa pande zote mbili. Ona vile Kenya ina uhusiano wa karibu na Uganda, i wish ingekuwa hivyo hivyo na Tanzania lakini hii vita ilianza kitambo sana, enzi za akina Jomo Kenyatta na Nyerere, hatuwezi kuisuluhisha

sisi hatuna bifu kabisa. ni utani wa jadi.
mbona wenye bifu la ukweli Russia na western Europe wanafanya biashara ya gesi kama kawaida?
 
Mbona msitume proposal kwa serikali ya Kenya. Hii chuki kati ya Kenya na Tanzania sijui ilianza lini lakini ina madhara kwetu sote. Tunahitaji gas yenu lakini as long as tunabishana kwa mambo madogo kama mizigo kuzuiliwa kwa border, nadhani hio ndio inafanya Viongozi wa Kenya kuogopa kuingia deal incase mfereji wa gas ikatwe, kisa eti tumebishana tu kidogo. Kuna kutoaminiana kwa pande zote mbili. Ona vile Kenya ina uhusiano wa karibu na Uganda, i wish ingekuwa hivyo hivyo na Tanzania lakini hii vita ilianza kitambo sana, enzi za akina Jomo Kenyatta na Nyerere, hatuwezi kuisuluhisha
Hii statement yako ya kutuma proposal ndiyo iliyomo vichwani mwa wanasiasa wengi wa Kenya, too proud. Mwenye kuhitaji ndiye anayepeleka proposal, mbona mlituma waziri wenu wa afya kuja kuomba msaada wa madaktari, kwanini hamkusema " Tanzania tumeni proposal ili mtusaidie madaktari huku kwetu wamegoma?". Museven alikuja kuzungumza na JPM kuhusu bomba la gesi kwenda Uganda, kama ambavyo JPM alivyomuomba Museven bomba la mafuta lipitie TZ, hupaswi kutanguliza ego mbele ukaweka uchumi nyuma.
 
Back
Top Bottom