Mbona msitume proposal kwa serikali ya Kenya. Hii chuki kati ya Kenya na Tanzania sijui ilianza lini lakini ina madhara kwetu sote. Tunahitaji gas yenu lakini as long as tunabishana kwa mambo madogo kama mizigo kuzuiliwa kwa border, nadhani hio ndio inafanya Viongozi wa Kenya kuogopa kuingia deal incase mfereji wa gas ikatwe, kisa eti tumebishana tu kidogo. Kuna kutoaminiana kwa pande zote mbili. Ona vile Kenya ina uhusiano wa karibu na Uganda, i wish ingekuwa hivyo hivyo na Tanzania lakini hii vita ilianza kitambo sana, enzi za akina Jomo Kenyatta na Nyerere, hatuwezi kuisuluhisha