Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
Usijitazane ulivyo na usijione dhaifu , kwa namna ulivyo ni mtaji tosha wa kuyaleta mageuzi unayoyatamani kuyaona kwenye Taifa lako .
Kitendo cha kutoka na kuungana na wenzako ,utakuwa umetimiza moja ya jambo kubwa sana kwenye sababu ya uwepo wako Duniani .
Kwa maana utakuwa unefanikiwa kujiokoa mwenyewe ,utakuwa unefanikiwa kujiokoa kizazi chako na pia utakuwa unefanikiwa kuzinusuru rasilimali za Taifa lako .
Zingatia:-
Usisukumwe na itikadi yako , wanasiasa wote mbuzi tu , sukumwa na malengo mapana yatakayolifanya Taifa lako liwe sehemu salama kuishi kwako na vizazi vyako .
Bora tufe tumesimama kuliko kuishi tumechuchumaa .
Tambua wingi wetu ni zaidi ya siraha zakivita.
Wanachokifanya CCM nikutuuzia uwoga ,na tukikubali tu kuinunua hiyo hofu yao tujue tumeisha.
Wewe unadhani ni jambo la kawaida tamko la jeshi kusambaza na msemaji mkuu wa serikali 🤣jamaa wamepagawa ,hawaelewi tena nini kitakachokuja kutokea maana wanajua ikitokea tu raia wamegoma kuinunua hofu Ngoma inakuwa imeishia hapo .
Kituko zaidi ni pale msemaji mkuu wa serikali anapokwenda kutupia taarifa ya jeshi (X zamani Twitter ) sehemu ambayo yeye mwenyewe amekili kuwa serikali anayoisemea imeifungia sasa sijui alikuwa anataka ikasomwe na nani 🤣🤣
Hapa hapafai kulegeza ,tusijitazame kwa udhaifu wetu na tisijihangaishe kumtegemea yeyote.