Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Karibu mkuu, unaweza kujifunza taratibu hiyo fani nafasi bado zipo nyingi.Kila lenye heri kwa mwenye uwezo
Si mbaya naweza kuona kazi zakoMi natengeneza 3d
Nafasi bado zipo, pambana ujue zaidiDu nilianza kujifunza kwa kutumia harmony lakini nikaishia njiani, nimekosa Fursa nje nje
Kama nia ipo hakuna kinacho shindikanaKuna siku nitaleta tangazo kama hili ila mimi nataka mtu anipe copyright(nanunua kabisa) bado naweka mambo flani sawa.
Sawa mkuu, ngoja tumpate huyu kiungo kwanzaMkuu kama wakiitaji na mtu wa sound over na video editing plas graphics nipo hapa...
Kwa mshahara wa sawa na bure
Mkuu una project Makini una I acceralate ?
- Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni
- Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi
- Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba
- Malazi ni bure
- Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/=
- Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.
Inahusika na niniMkuu una project Makini una I acceralate ?
2d animations?Inahusika na nini
Namaanisha hii inahusika na nini ''I acceralate''2d animations?
Yani ni project endelevu?Namaanisha hii inahusika na nini ''I acceralate''
Ni endelevu, na inahitaji watu kama watano hiviYani ni project endelevu?
Haipingwi mkuuSawa mkuu, ngoja tumpate huyu kiungo kwanza