mm niko vzr 2D character na background Digitization with Flash Professional
- Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni
- Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi
- Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba
- Malazi ni bure
- Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/=
- Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.