2D animator anahitajika

mm niko vzr 2D character na background Digitization with Flash Professional
 
Na mawasiliano mkuumm

Mm ni graphicx designer hii itanifaa?
 
Na mawasiliano mkuumm

Mm ni graphicx designer hii itanifaa?

Ukifaulu hii test tunaingia kazini ndani ya masaa 24

Tengeneza 'clip' yenye maudhui yafuatayo na utatuma kwenye email(nitakupatia)

Maudhui:

Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu, nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi
 
Huyo mwenye ujuzi utakua umemsomesha mwenyewe Kwamba akutengenezee 2d animation ya 10hrs ambayo Ina standard ya 12 frame per second. Japo commercial ni 24 frame per second. Au unataka utengenezewe slide show
Kama ujuzi unao, fanya hii 'test' tuingie kazini; tuache maneno ya kulalamika

Maudhui:
Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu, nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi
 
ok nawez nikakutengenezea hyo kama bado ajapatikana mtu vip nikutumie wap ? lakin nawek watermark katikati 👤 nipe mawasiliano yako nikupe sample zangu za animation kabla sijapotez mda zaid.
 
TEST

Maudhui:
Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu, nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…