TEST
Maudhui:
Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu, nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi

Mimi naweza 2d je uwakika nikikutengenezea
- Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni
- Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi
- Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba
- Malazi ni bure
- Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/=
- Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.
Nikutumie umuhimu au itanipa namba yakutuma iyo katuni
- Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni
- Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi
- Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba
- Malazi ni bure
- Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/=
- Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.
Nicheki inboxMimi naweza 2d je uwakika nikikutengenezea
PoaNicheki inbox
vip mlipata mtu mbona mm nilituma sikupita ::!!!🙄🙄Nicheki inbox
Ni zaidi ya utumwa2D animation, masaa 10, 500k?. Modern day slavery.