2kgs Unga now retailing at sh75bob

Kuna Unga inauzwa 69 na ingine 70. Uhuru awache kurupuka. Mahindi kilo moja ni 30bo. Mbona mtu asikachukue akasiage mwenyewe? Sasa ajifanya eti anajali watu maskini?
 
Farming is collapsing in kenya. Uhuru is capping unga prices while raising the cost of farm input.

The farmers will be forced out of business in favour imports from Mexico.
 
Farming is collapsing in kenya. Uhuru is capping unga prices while raising the cost of farm input.

The farmers will be forced out of business in favour imports from Mexico.
Umekurupuka, sasa hivi Kenya kuna mahindi excess, maghala ya NCPB yamejaa na bado wakulima wanaendelea kusupply. Ukulima wa majani chai na wa kahawa unaendelea kunawiri, na wamepata faida kubwa mwaka huu. Ongea kuhusu wakulima wa Tz, habari zao unazifahamu vyema zaidi.
 
Reactions: Oii
Hahahahahahahahahaha,hii nchi imefeli kwenye kila idara hadi wanaume wazima wanakaa na kujadili bei ya unga imeshuka teh teh teh...Njaa mbaya jamani
Hapa Geto Nina unga mpaka unaharibika namwaga, Mama anataka kuniletea mwingine nimemzuia,
Ajabu kuna majitu yanafurahia unga kushuka bei 2018,
Hahahahaaaaa, dah hii mido inkamu kiboko
 
Hapa Geto Nina unga mpaka unaharibika namwaga, Mama anataka kuniletea mwingine nimemzuia,
Ajabu kuna majitu yanafurahia unga kushuka bei 2018,
Hahahahaaaaa, dah hii mido inkamu kiboko
Hadi wanatia huruma,Eti MIDO INKAMU KANTRI.... hahahahahahahaha!
 
says a member of a shithole LDC stateπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
View attachment 889789
Uhuru knows how he has screwed you on the forever debts so he must make sure mnapata angalau mavumbi by cheap prices angalau to sustain respiratory system msijekufa chuma ulete zake you know Brookside is going to hell anytime soon πŸ”œ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…