2kgs Unga now retailing at sh75bob

2kgs Unga now retailing at sh75bob

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
Only 75bob
Screenshot_20181007-115805.jpeg
 
Kuna Unga inauzwa 69 na ingine 70. Uhuru awache kurupuka. Mahindi kilo moja ni 30bo. Mbona mtu asikachukue akasiage mwenyewe? Sasa ajifanya eti anajali watu maskini?
 
Farming is collapsing in kenya. Uhuru is capping unga prices while raising the cost of farm input.

The farmers will be forced out of business in favour imports from Mexico.
 
Farming is collapsing in kenya. Uhuru is capping unga prices while raising the cost of farm input.

The farmers will be forced out of business in favour imports from Mexico.
Umekurupuka, sasa hivi Kenya kuna mahindi excess, maghala ya NCPB yamejaa na bado wakulima wanaendelea kusupply. Ukulima wa majani chai na wa kahawa unaendelea kunawiri, na wamepata faida kubwa mwaka huu. Ongea kuhusu wakulima wa Tz, habari zao unazifahamu vyema zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hahahahahahahahahaha,hii nchi imefeli kwenye kila idara hadi wanaume wazima wanakaa na kujadili bei ya unga imeshuka teh teh teh...Njaa mbaya jamani
Hapa Geto Nina unga mpaka unaharibika namwaga, Mama anataka kuniletea mwingine nimemzuia,
Ajabu kuna majitu yanafurahia unga kushuka bei 2018,
Hahahahaaaaa, dah hii mido inkamu kiboko
 
Hapa Geto Nina unga mpaka unaharibika namwaga, Mama anataka kuniletea mwingine nimemzuia,
Ajabu kuna majitu yanafurahia unga kushuka bei 2018,
Hahahahaaaaa, dah hii mido inkamu kiboko
Hadi wanatia huruma,Eti MIDO INKAMU KANTRI.... hahahahahahahaha!
 
says a member of a shithole LDC state😀😀😀
View attachment 889789
Uhuru knows how he has screwed you on the forever debts so he must make sure mnapata angalau mavumbi by cheap prices angalau to sustain respiratory system msijekufa chuma ulete zake you know Brookside is going to hell anytime soon 🔜.
 
Back
Top Bottom