3 master keys to make your wife love u forever

3 master keys to make your wife love u forever

Mwanaume wa ivyo Kama yupo namtaka hasa hapo kwenye kuprotect na kurespect..[emoji41]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Wanaume wa hivyo utawapata kanisani tu, njoo kanisani kwetu.
 
Aahahahahhaaahahahaa yaalaaahhhh

Please take me away from here, let's disappear without leaving a trace or mark for other members to follow us.

Lovie Dovie.
Hii love ni ya kichina
 
Sometimes too much is harmful man be really tell herself what she desire in her life and relationship you will get simple answer
 
Mh sio kwa hawa pasua kichwa,utafanywa msukule....
 
Yeees!

The fondling, carelessing, with rythmic breathing!

Thanks again babe!

Togather forever!
JOHNKEKE nasubiria ulete stori yako ya kula tunda kimashihara kule kwenye uzi pendwa mkuu!!
[emoji23][emoji23]
 
Mimi nataka mwanaume mzee hawa hawana noma hawa vijana naona wako kwenye mashindano ya kupiga wake zao utadhani wameahidiwa tuzo.
 
Mimi nataka mwanaume mzee hawa hawana noma hawa vijana naona wako kwenye mashindano ya kupiga wake zao utadhani wameahidiwa tuzo.
Unaenda kuchukua viraka vilivyotengenezwa,tengeneza wa kwako utaishia pabaya
 
Back
Top Bottom