INAUZWA 3 Pages business plans for sale with revenue potential of 250,000 per day

Tutajie kwanza kiasi cha mtaji wa kuweza kuingiza hiyo 250k kwa siku, ili kabla ya kununua huo mpango kazi wako... tujipime kama tunao mtaji huo au lah!
 
Tutajie kwanza kiasi cha mtaji wa kuweza kuingiza hiyo 250k kwa siku, ili kabla ya kununua huo mpango kazi wako... tujipime kama tunao mtaji huo au lah!
Mkuu,
Sidhani kama hii huduma itakufaa wewe maana wewe unatafuta uthibitisho ya kwamba huwezi na sio kwamba unaweza.Kwanza anza kwa kujaribu kufikiria kama ukiwa una uwezo wa kuingiza TZS 250,000 kwa siku maisha yako yatakavyobadilika kisha ukiona mabadiliko yakakuvutia basi unachukua simu yako unapiga unasikiliza ujumbe.

Ukiona unakufaa unanunua ukiona haukufai unaacha.DEAL?
 

Acha madharau!
 
Acha madharau!
Sio dharau,Ni challenge tu kwako ila ukiamua kuiona kama dharau then nalo ni tatizo.Katika mapambano ya kutafuta riziki usiogope if your ego is bruised,ni ajali kazini na wakati mwingie pia usiogope kujeruhi hisia za wengine kwani ni sehemu ya strugle to succeed cha muhimu ni kukung'uta umbi,kupiga simu na kusikiliza ujumbe.Kama ujumbe unakufaa unaufanyia kazi na kama hakufai you move to the next step.

This is a challenge to you and anyone else ambaye atachagua kuwa sehemu ya mabadiliko kwamba.Unapoona FURSA usitafute jsutifications zozote zile bali unawasiliana nami na kupta zile personalized information.Usifikiri kwamba Hii fursa ni katika msingi wa kiwango cha mtaji bali ni kiwango cha uthubutu.
 
Business Plans zetu zote ni:
  1. Customized to your goals,location,capital requirement,objectives etc
  2. Comes with one year warrant.
  3. Execution support included
  4. Financing Options Available if needed
Hii ina maana kwamba ukitupa kazi tunahakikisha unapata faida kamili.Karibu ufurahie huduma zetu
 
Mkuu,Unatka kununua business au business plan?Kama unataka kuona business inayoingiza kiasi hicho cha PESA gharama yake ni TZS 10,000 bila business plan.DEAL?
Wanaume wa Dar bhana. Eti kukuelekeza buku kumi. Yaani zile zile unaenda sehemu unajaribu kuulizia jamani Bin Sulm tyres wako wapi? KUKUELEKEZA SHS BUKU. Mscheeeew
 
Wanaume wa Dar bhana. Eti kukuelekeza buku kumi. Yaani zile zile unaenda sehemu unajaribu kuulizia jamani Bin Sulm tyres wako wapi? KUKUELEKEZA SHS BUKU. Mscheeeew
Mkuu,muda ni pesa,kama wewe unafikiri muda wake sio pesa ni wewe.Vile Vile ninapozungumzia kukupeleka kwanye biashara ambayo ina sales ya kiasi hicho cha Pesa ninakupeleka kwa mteja,muuzaji na supplier.So Unaweza kupata picha hasa ya hio 250k unaipataje ili usije kufikiri ni ngumu sana au ni rahisi sana.Sasa kama unataka kupata huduma kama hio bure basi una safari ndefu sana.
 
Unapoteza muda kubishana na viazi
 
Kwa hiyo unatutisha sio. Kwamba wewe ni smarter kutushinda sisi fursa wako! Ambao hatutaki hii service yako na tuna comment ni kwamba tunapoteza mda sio! Baaasi kusingekua na jukwaa la "wakubwa" humu jf maana ni kupoteza muda yaaani mda wote tunakodoa mimacho tu kutafta fursa.
 
Wewe una matatizo yako binafsi naona.Sa alokutishia ni nani?Alosema ni smart kuliko wewe ni nani?
 
Hizo Business Plan zinafanya kazi au ndio kupotezeana pesa? Maana unaweza toa business plan kisha ukalipwa ukakacha bila kutoa after sales support.
 
Hizo Business Plan zinafanya kazi au ndio kupotezeana pesa? Maana unaweza toa business plan kisha ukalipwa ukakacha bila kutoa after sales support.
Mkuu,sisi hatukupi business plan template,tunakuandalia business plan ambayo unaweza kuifanyia kazi + free one year support.Kwa maelezo zaid wasiliana nasi kwa simu 0710323060 au masokotz@yahoo.com

Kwa wale ambao wamebahatika kutumia huduma zetu wamejikuta wakishangaa kwa nini gharama zetu ni nafuu na kiwango cha huduma kiko juu.Wasiliana nasi utaelewa Mkuu na unaweza kuja kuwa balozi mzuri huko ulipo
 
Kiukweli mimi nakubaliana na mtoa post. Ni tabia mbaya sana mtu anatoa tangazo lake la biashara halafu mtu anakuja na hoja za kijinga jinga kumkatisha tamaa. Huyu anauza program yake. Ni vyema basi mtu kama hauko interested au unaona ni ujinga ukae tu kimya. Lakini ukianza ooh mbona wewe mwenyewe haufanyi au ukaanza kumkatisha tamaa. Wewe unafaidika na nini?
 
Mkuu ukiona watu wanakukatisha tamaa ujue kwenye Righ Track.Mpaka sasa hivi Hapa JF Tayari nina wateja zaidi ya 15 ambao ninawapatia huduma.Vile vile kuna ambao tayari wamenipa mrejesho juu ya upekee wa huduma zetu baada ya kuwasiliana nasi na kusikia kile ambacho tumeweka sokoni.Kwa ufupi ni kwamba Mpaka wakati huu nafurahia sana hawa wakosoaji kwani baadhi ya mitazamo yao inanisaidia sana kukuza biashara na kufikia wateja

Kwa huduma ya haraka na ya uhakika USISITE KUNITAFUTA kwani huduma yetu inakupa guarantee ya matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…