Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,636
- 2,053
3 Series 320I M SPORTS guyz hii chuma naizimia kinoma nawaahidi kuna siku nitawapostia humu nikishanunua hii ni gari ya ndoto yangu
Ghalama ya kuagiza ni Tshs 13,881,102 hii inakufikia hadi mkononi mwako ukiwa gheto
Used bongo hapa naipataje jamani kwa Tsh ngapi?
Ghalama ya kuagiza ni Tshs 13,881,102 hii inakufikia hadi mkononi mwako ukiwa gheto
Used bongo hapa naipataje jamani kwa Tsh ngapi?