3 Series 320I M SPORTS gari ya ndoto yangu

Kumbe hizi 325i ni six cylinders nilikuwa sijui aisee huwa naziona Sana mitaa ya kariakoo kuna wabishi wanasukuma hizi ndinga....
Mwanangu anayo 320i huwa anakalisha Sana akina crown akiwa anaenda Dodoma

Above 320i kuanzia 323i, 325i, 328i, 330i n.k. with exception kwa M3 ambayo ni V8, zote ni 6 cylinder tena inline.

Naona BMW habari ya V6 hataki kabisa kuisikia.
 
Kumbe hizi 325i ni six cylinders nilikuwa sijui aisee huwa naziona Sana mitaa ya kariakoo kuna wabishi wanasukuma hizi ndinga....
Mwanangu anayo 320i huwa anakalisha Sana akina crown akiwa anaenda Dodoma
6 cylinder wese sasa[emoji2] Kuna jamaa ana mark 2, 6 cylinder anaendesha Mara 1 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom