JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Kama anaiona 13ml sijui ataweza service ya 7ml
7m hiyo service unakuwa unebadili nini na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anaiona 13ml sijui ataweza service ya 7ml
Kumbe hizi 325i ni six cylinders nilikuwa sijui aisee huwa naziona Sana mitaa ya kariakoo kuna wabishi wanasukuma hizi ndinga....
Mwanangu anayo 320i huwa anakalisha Sana akina crown akiwa anaenda Dodoma
🤣🤣 Yaani hizi story hizi.7m hiyo service unakuwa unebadili nini na nini?
6 cylinder wese sasa[emoji2] Kuna jamaa ana mark 2, 6 cylinder anaendesha Mara 1 kwa mweziKumbe hizi 325i ni six cylinders nilikuwa sijui aisee huwa naziona Sana mitaa ya kariakoo kuna wabishi wanasukuma hizi ndinga....
Mwanangu anayo 320i huwa anakalisha Sana akina crown akiwa anaenda Dodoma