(3) Three reasons why Africans are poor, you may disagree with #1

It is true, what you have written drills the whole thing.
 
Forgive me if you are not a Kiswahili speaker, but if you are...sababu nyingine ya umaskini wa waafrika ipo hapa kwenye huu uzi wako. Ulikuwa na sababu gani kutumia lugha ya kigeni katika uzi huu? Labda kama hii umeinakili mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwarabu kaendelea!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri unafanana nae? Hata robo ya maendeleo ya mwarabu hakuna nchi ya kiafrika imefikua.Mafuta tu yamewatajirisha warabu. Kuna Msukuma mmoja aliebahatika kwenda Misri na kuishi huko, Alikuwa akihadithia vijiji vya misri ndio kama mikoa yetu. Umeme maji vilipeldkwa zamani sana.

Kuna baadhi ya nchi za kiarabu hawalipi hata kodi mfano Qatar.Dubai nayo imeendelea sana.Warabu sio saizi yetu kabisa, ndugu zetu wa kiarabu hapa Tz husaidiwa na warabu wenzao huko uarabuni .Mwarbu alibweteka kuwekeza kwenye teknolojia ila anayo hela ya kununua teknolijua yoyote duniani.Mwarabu atafilisika pale mafuta yatakapokuwa sio dili. Kingine kinachowarudisha nyuma ni vita.
 
M
Mwarabu sio duni kwa mzungu mkuu. Mwarabu anamiliki pesa chafu hawategemei msaada was mzungu.Mzungu anachomiliki ni teknolojia na hali soon itabadirika maana bara Asia linataka kujitegemea kwa kila kitu narudia kika kitu jupitia mchinana muhindi, waajemi nka.Mwarabu na mzungu wanashindana nani amtawale mwenzake.Sisi Afrika na Latin Amerika ndio makenge.

Hakuna nchi ya kuafrika ya mfano jwa jambo lolote. Tumeshindwa hadu kujitengenezea nguo tunavaa makombo.
Kiujumla bara Asia wanajitambua.
 
Ww jamaa unachembe za uadilifu Chief

Ubarikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is official languages of this Nation? 😳 should l bring another post about languages spoken in our Country? Your off point anyway
 
Ukimiliki teknolojia ndio unamiliki power sasa, kwa sasa mwarabu bado yupo chini ya mzungu na anapelekeshwa na mzungu tu, chukulia tu kwa mfano sula la Israel anavyonyanyasa Wapalestina na nchi za kaiarabu kama Egypt, Saudia, UAE zinakuwa washirika wa Israel na Marekani tena

Afrika hata Latin America imeiacha mbali sana pamoja na matatizo yao, yaani ukiangalia nchi kama Zambia, Tz, Chad, Niger, DRC linganisha na nchi kama Mexico, Peru, Argentina, Chile, Brazi, Bolivia, Colombia, Honduras? utaona gepu kubwa sana
 

Muwe mnatembelea youtube wakati mwingine kuweza kujua duniani kuko vipi. There are much far horrible places in this world than is Africa


 
Muwe mnatembelea youtube wakati mwingine kuweza kujua duniani kuko vipi. There are much far horrible places in this world than is Africa





We have to discuss about our problems in Africa MORE than other places that you see in "you tube" We are in Africa. Tanzania in particular.
 
We have to discuss about our problems in Africa MORE than other places that you see in "you tube".... we are in Africa.. Tanzania in particular...
My post serves as a trigger to the discussion, isn't it? issue iliyonifanya nitoe reference hizi hapa ni kwa sababu mtu anaponda Africa na si kwamba anajadili Africa
 
ELIMU HUANZA SHUL INAPOISHA....Hapa nakubaliana na wewe kabisa, yani hawa vijana wakimaliza chuo kuja kushika tena kitabu ni ndoto
 

Utakuwa hujamwelewa kabisa mtoa mada aisee. Na hata aliposema “shifting blames”, wewe umeidhihirisha kabisa hapa. Mazingira magumu ya kujiajiri, nani akuwekee mazingira malaini sasa? Halafu hao unaotaka wakuwekee ulaini wewe, na wao nani anawawekea huo ulaini?

Tuache hizi mambo na tubadilike sasa
 
What is official languages of this Nation??? 😳 should l bring another post about languages spoken in our Country? Your off point anyway
Off your point? Haswaaa! Wala hujakosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…