Hili wazo lako lenyewe limetokana na ukoloni!!
Aliekwambia kuzaa watoto wengi Au kuwa na idadi kubwa ya watu nchini ndio umasikini ni nani?
Kama idadi ya watu ndio kigezo basi china ingekuwa Taifa masikini kuliko Taifa lolote duniani, india, Marekani, Japan nk.
Na kwa upande wa Afrika Nigeria ingekuwa nchi masikini zaidi kuliko zote. Badala yake sasa ni kinyume chake, Nigeria nchi yenye idadi kubwa Afrika ndio inaongoza kwa ukubwa wa uchumi Afrika ikifuatia na Afrika kusini.
China ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi Duniani pamoja na kuwa ndio nchi yenye idadi kubwa ya watu Dunia nzima.
Marekani pamoja na idadi kubwa ya watu ni nchi ya kwanza kwa ukubwa wa uchumi.
Nchi zingine ni kama; india Canada Japan nk.
Nchi yoyote yenye idadi kubwa ya watu ikaweka sera safi ya rasilimali watu na kuwatumia watu wake kama nguvu kazi kwenye uzalishaji sekta zote, kuwatumia watu wake kama soko la kwanza la bidha zake zinazizalishwa ndani, kukusanya kodi, nk lazima nchi hiyo iendelee.
Hivyo hivyo na kwenye familia, kanuni ni ileile.
Ukikuta una familia kubwa na wewe ni masikini basi ujue umasikini watu upo kwenye ubongo kama baba na sio vinginevyo.
Nadhani hapo tumelewana mkuu.
=#####=
Sent using
Jamii Forums mobile app