3 years Anniversary in JF

3 years Anniversary in JF

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Hello,

Siku ya Alhamis tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2016 nikifanikiwa kujiunga na mtandao huu baada ya kuwa mtumiaji mgeni kwa muda wa miaka mingi.

Japo ni mika 3 tu niko kama member rasmi, ila naona nimekaa miaka mingi, umri wa mtu.

Kama una swali na ushauri wako ningependa unipatie.
Kama nishawahi kukukwaza niambie ila kama ushawahi nikwaza be good sina kinyongo kabisa.. Humbleness is my religion
Ahsante
Vers.
Vinci.
 
Naomba nikuulize swali...
Kwanini unatumia avatar ya kike wakati wewe ni kiumeni..!!??
Je, hauoni kama unajiweka kwenye mazingira tatanishi ama kujiweka uonekane umejitoa sadaka..??
Nimeweka avatar ya kike kwakua humu hakuna Default avatars.. kwamba ukiwa wa kike basi tumia ya kike au wa kiume tumia ya kiume. Naweka ile nayoipenda.
Shida watu wa humu sijui mkoje eti mkiona avatar nzuri basi mnampenda mtu..lol

Mimi sijajitoa sadaka wala kujiweka mazingira tatanishi.. ambae anajitoa sadaka ni yule anaependa avatar bila kumjua muhusika personality yake.
Kama hujawahi ongea nami usiamini kama ni wa kiume au wa kike
 
Toka nimejiunga humu nimetumia ID hii moja tu ila nimeibadili jina kama mara 4 hivi. Nilianza na mondray>>>Gentries >>>Da'Vinci >>>Denvers>>>Da'Vinci tena.
Mwanaume unatakiwa uwe na msimamo. Unachokifanya inatakiwa uwe umekifanyia upembuzi kwa kina. Kubadili ID mara kwa mara inaonekana hujiamini, hujikubali. Kuwa na msimamo bana.

Japo huo ni uamuzi wako ila ingependeza ubaki na msimamo wa ID uliyoanza nayo kama baadhi ya member kama Nyani Ngabu, Chamoto, Chakaza, Joka Kuu, jmushi, n.k waliojiunga tangu JF ianzishwe.
 
Hato majina mawili ya mwanzo kuna sababu maalum ya kuyabadiri.. ila Davinci haitabadirika tena..
 
Back
Top Bottom