Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu sio ndio yule mzee wa asisti kweli kwa aidii hiyo ya kwanza?
Hata mimi siku moja nitafikisha miaka tatu kama huyu kumbe!Kutimiza 3 yrs sisi wengine badoo!
Tutafika tuu, next year natimiza 3 yrs piaHata mimi siku moja nitafikisha miaka tatu kama huyu kumbe!
Hakika tuombe uzima.Tutafika tuu, next year natimiza 3 yrs pia
Hell no huyo hafungamani nami.. si yupo humu na id zake zingine
Ni wakati muafaka sasa kwa mtoto kuandikishwa baby classHello,
Siku ya Alhamis tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2016 nikifanikiwa kujiunga na mtandao huu baada ya kuwa mtumiaji mgeni kwa muda wa miaka mingi.
Japo ni mika 3 tu niko kama member rasmi, ila naona nimekaa miaka mingi, umri wa mtu.
Kama una swali na ushauri wako ningependa unipatie.
Kama nishawahi kukukwaza niambie ila kama ushawahi nikwaza be good sina kinyongo kabisa.. Humbleness is my religion
Ahsante
Vers.
Vinci.
Tafuta nyuzi za Mzigua na mama sabrina washamuongelea.. wengi tu walikua wananifananisha nae...
AminaaHakika tuombe uzima.
komaa hapo hapoNingekua nae asee angekua mkubwa sasa hv.. muda bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huyu sio ndio yule mzee wa asisti kweli kwa aidii hiyo ya kwanza?