Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hahah...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kabisaa
Vile wewe umeniambia siyo, now i can rest the case
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kabisaa
Hapo itanibidi nipakue subtitles maanna najua lugha 3 tu.. za mataifa ya nje. Kirusi na ki hebrew nampango siku moja nijifunzeUnapoangalia movie za kichina, kihindi, kikorea, kirusi, kiislael na mataifa yote yasiyotumia English huwa unapata changamotto gani kuzielewa kama zikiwa hazina subtitles??
Ahsante sana mkuu. Kila kitu na wakati wake lakini..
Hujambo?
Looh I'm hungry n miss them.. uniletee basi eeh uje na maji yale..
subtitle unapakuwa vp na inatumika vp ktk movie husika?Hapo itanibidi nipakue subtitles maanna najua lugha 3 tu.. za mataifa ya nje. Kirusi na ki hebrew nampango siku moja nijifunze
Kwanza niambie pc yako inatumia window ten au ina VLC. Kama jibu ndio ingia kwenye Site ya Opensubtittles au TV subtitles au YIFY subtitles kisha sachi na pakua subtitles utakavyosubtitle unapakuwa vp na inatumika vp ktk movie husika?
Nina simu yangu tu ya tecno hapa, swala la PC hicho ni kitendawili kingine kabisa..ila ahsante kwa majibu yako!Kwanza niambie pc yako inatumia window ten au ina VLC. Kama jibu ndio ingia kwenye Site ya Opensubtittles au TV subtitles au YIFY subtitles kisha sachi na pakua subtitles utakavyo
Kumbe huyu ndie mondray nilikua sijui
HahahahahahHahah...
Vile wewe umeniambia siyo, now i can rest the case