Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinc ndio mwenye maakili makubwaYaani ungejua niko bize sema ubize wangu nakua nimekaa..tena kwenye internet access ndio maana nakua nachungulia humu mara nyingi...
So mond na Vinci nani mwenye maakili makubwa..?
Ahahahah i suggest acheki movie ya glassMultiple personality disorder!
Its real
Kafanye therapy mkuu!
Site gani nzuri unaitumia kupakua subtitlesHapo itanibidi nipakue subtitles maanna najua lugha 3 tu.. za mataifa ya nje. Kirusi na ki hebrew nampango siku moja nijifunze
Husahau tu! Unataka zawadi gani?Mmhh.. Zawadi tu mm ndo nataka
Sijui unapenda nini nisije kukupa kitu ukawa hujakipendaSio mzuri kuchagua naomba unichagulie..
Basi nitakupeleka live band wkend hii kama zawadiNapenda Muvi,Jinzi na raba, kwenda live band
Mambo mengi ila nitakutimiziaHata siamini.. zawadi yenyewe toka june umeahidi