Nimeweka avatar ya kike kwakua humu hakuna Default avatars.. kwamba ukiwa wa kike basi tumia ya kike au wa kiume tumia ya kiume. Naweka ile nayoipenda.Naomba nikuulize swali...
Kwanini unatumia avatar ya kike wakati wewe ni kiumeni..!!??
Je, hauoni kama unajiweka kwenye mazingira tatanishi ama kujiweka uonekane umejitoa sadaka..??
Mwanaume unatakiwa uwe na msimamo. Unachokifanya inatakiwa uwe umekifanyia upembuzi kwa kina. Kubadili ID mara kwa mara inaonekana hujiamini, hujikubali. Kuwa na msimamo bana.Toka nimejiunga humu nimetumia ID hii moja tu ila nimeibadili jina kama mara 4 hivi. Nilianza na mondray>>>Gentries >>>Da'Vinci >>>Denvers>>>Da'Vinci tena.
Hato majina mawili ya mwanzo kuna sababu maalum ya kuyabadiri.. ila Davinci haitabadirika tena..Mwanaume unatakiwa uwe na msimamo. Unachokifanya inatakiwa uwe umekifanyia upembuzi kwa kina. Kubadili ID mara kwa mara inaonekana hujiamini, hujikubali. Kuwa na msimamo bana.
Japo huo ni uamuzi wako ila ingependeza ubaki na msimamo wa ID uliyoanza nayo kama baadhi ya member kama Nyani Ngabu, Chamoto, Chakaza, Joka Kuu, jmushi, n.k waliojiunga tangu JF ianzishwe.
Wengi sana mkuu