Jpili hii jiandae kabisaLini itakua.. nianze kujiandaa
Kama upo mbali na mimi zawadi itabadilishwaWapi itakua
Ahsante. Vipi maendeleo ya ile kazi
π π π ππ
Acha hivo wewe..
So unafanyaje?
Good. Usikate tamaa..Nakurakia mafanikio
[emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante mdada mpole
Nipo jiji la MakondaOk..uko sehemu gani..
Uko na bahati mbaya ngoja tusubiri June nyingineMimi niko huku kunapotoka wavuta ugoro na bangi kwa sana...
Nitakupa bhanaLoooh sio poa hivo ujue.... Umesema kama zawadi ipo mbali itabadilishwa lakini