That Gentleman JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,215 Reaction score 3,678 Jan 20, 2022 #41 mkaamweusi said: Nyie hamjaionja haojue express nyie Click to expand... Mayai..
mkaamweusi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2013 Posts 618 Reaction score 824 Jan 20, 2022 #42 That Gentleman said: Mayai.. Click to expand... Kwamba ni delicate au vp?
Daktari W Sindabhalla JF-Expert Member Joined Jan 29, 2017 Posts 600 Reaction score 580 Feb 25, 2022 #43 mkaamweusi said: Nyie hamjaionja haojue express nyie Click to expand... Habari za leo Mkuu MKAA MWEUSI, Naomba uzoefu wako kwenye hii pikipiki ya HAOJUE EXPRESS please. kama vile uimara wake, unywaji wa mafuta, upatikanaji wa spea nk.
mkaamweusi said: Nyie hamjaionja haojue express nyie Click to expand... Habari za leo Mkuu MKAA MWEUSI, Naomba uzoefu wako kwenye hii pikipiki ya HAOJUE EXPRESS please. kama vile uimara wake, unywaji wa mafuta, upatikanaji wa spea nk.