Sijafunga pm ila siwezi kutumia pm yangu inaniwekea sent item na inbox. Mpaka mtu anichek ndo naweza kuingiahahahah sijataka kuchelewa.
Umeshindwa kiuja pl kwamba kuna tatizo au umeshafunga pm lol? Dooh kama umefanikiwa hongera sana, maana. Tena ngoja nikachungulie nione inavyoonekana now
Mjanjaaa. Tulikuaga tunapambania Samsung yangu. Sasa hiv nimebaki na hiki kimeo vita imekua kubwa zaidi.Hahahaaa.
Huyo dawa yake ni kumwachia hiyo Tecno [hivi ni Tecno au..?] halafu wewe unatunukiwa iPhone X Plus.
Ila alivo mjanja si ajabu akastukia dili...
Mjanjaaa. Tulikuaga tunapambania Samsung yangu. Sasa hiv nimebaki na hiki kimeo vita imekua kubwa zaidi.
P.S. nasubiri zawadi zangu nimringishie Heaven Sent [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahha kizuri tule wote ndugu yangu. Hii perfume tutakuwa tunatumia wote teh (kuibeba tu kwenye pochi na kwenye nguo zinukiage)Mjanjaaa. Tulikuaga tunapambania Samsung yangu. Sasa hiv nimebaki na hiki kimeo vita imekua kubwa zaidi.
P.S. nasubiri zawadi zangu nimringishie Heaven Sent [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
I can do your shopping!
Utakua umefanya jambo la maana. Tushee mpaka tushinde tena siku inginehahha kizuri tule wote ndugu yangu. Hii perfume tutakuwa tunatumia wote teh (kuibeba tu kwenye pochi na kwenye nguo zinukiage)
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
View attachment 849632
Im allergic to counterfeit...mzigo nachukua fragranceshop.co.uk in short shopping nafanya London!
Huo mzigo kau-deliver yeye mwenyewe in the flesh na ukaupokea wewe mwenyewe in the flesh?
Teh tunaweka na mikakati kabisa ya kushindaUtakua umefanya jambo la maana. Tushee mpaka tushinde tena siku ingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuweka mkakati wa kushinda ni moja ya ushindiTeh tunaweka na mikakati kabisa ya kushinda
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
[emoji39] [emoji39] [emoji39]View attachment 849632
Im allergic to counterfeit...mzigo nachukua fragranceshop.co.uk in short shopping nafanya London!
Nimependa kitengeWapendwa katika Bwana, leo imebidi nitafute na smartphone ili niconfirm kwa picha kuwa mzigo wangu nimeupata kama unavyoonekana hapo.
RRONDO yani leo maombi yote ni juu yako teh. You shall never lack anything IJN, siku zote ukawe na utoshelevu. View attachment 849624View attachment 849631
Atakayependa hicho kitenge kinachoonekana hapo, anaweza tu akani-pm (tangazo nimelipia)
c.c Mshana Jr -KANA- Eli79 Mzigua90 et al
Ndo maana nakupenda kuliko wanawake wote baada ya mama
don't invest in a woman