30,000 Likes

30,000 Likes

Hahahaaa.

Huyo dawa yake ni kumwachia hiyo Tecno [hivi ni Tecno au..?] halafu wewe unatunukiwa iPhone X Plus.

Ila alivo mjanja si ajabu akastukia dili...
Mjanjaaa. Tulikuaga tunapambania Samsung yangu. Sasa hiv nimebaki na hiki kimeo vita imekua kubwa zaidi.

P.S. nasubiri zawadi zangu nimringishie Heaven Sent [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahha kizuri tule wote ndugu yangu. Hii perfume tutakuwa tunatumia wote teh (kuibeba tu kwenye pochi na kwenye nguo zinukiage)
 
Wapendwa katika Bwana, leo imebidi nitafute na smartphone ili niconfirm kwa picha kuwa mzigo wangu nimeupata kama unavyoonekana hapo.
RRONDO yani leo maombi yote ni juu yako teh. You shall never lack anything IJN, siku zote ukawe na utoshelevu. View attachment 849624View attachment 849631

Atakayependa hicho kitenge kinachoonekana hapo, anaweza tu akani-pm (tangazo nimelipia)

c.c Mshana Jr -KANA- Eli79 Mzigua90 et al
Nimependa kitenge

[emoji252] [emoji479]
 
Back
Top Bottom