Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hiyo nyekundu ni kama umenipimaNaenda kutimiza ahadi.....
View attachment 849705
Hiyo nyekundu yamfaa nani? Mzigua? Hornet? Au HS?
View attachment 849712
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Ujamaa kama wote
- KANA -
Hahaaa!!binamu Mimi nataka perfume tu hata kujipulizia kidogooWapendwa katika Bwana, leo imebidi nitafute na smartphone ili niconfirm kwa picha kuwa mzigo wangu nimeupata kama unavyoonekana hapo.
RRONDO yani leo maombi yote ni juu yako teh. You shall never lack anything IJN, siku zote ukawe na utoshelevu. View attachment 849624View attachment 849631
Atakayependa hicho kitenge kinachoonekana hapo, anaweza tu akani-pm (tangazo nimelipia)
c.c Mshana Jr -KANA- Eli79 Mzigua90 et al
Hahahahaa. Nasubiri siku atayakayotimiza tu maana najua ipo hiyo sikuMbona umejibu kwa hofu?
[emoji252] [emoji479]
HahahahahaaaSafi sana. Nimeupenda umoja na mshikamano wenu!
Black girl magic.
Umoja ni nguvu. Tunatembea na misemo ya wahengaHao wanataka kupanga matokeo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Washaharibu kuweka mkakati hadharani
Hiyo nyekundu inanifaa kabisaNaenda kutimiza ahadi.....
View attachment 849705
Hiyo nyekundu yamfaa nani? Mzigua? Hornet? Au HS?
View attachment 849712
Aiseeh!Fanya uniazime kwa kweli!yani vitu kama hvyo unapiga navyo mpk pichaa!!!aiseeh!!hehehe perfume ntakuwa nakuazima uiweke kwenye nguon kaharufu katanasa tu. Naitumia kwa budget itasherehekea hadi na anniversaries lol
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
hahahha vitu vya ukumbusho hivi, vinawekwa tu kwa dressing tableAiseeh!Fanya uniazime kwa kweli!yani vitu kama hvyo unapiga navyo mpk pichaa!!!aiseeh!!
Kumbukumbu muruaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaa. Kama size 14 nichukulie ila kama 12 mchukue Heaven Sent tuu. Tumeamua kuungana tule maushindiHmm.....yaani wewe na HS mna taste zinazofanana?
Manake naye kasema hiyo nyekundu ni kama kapimiwa yeye....
Au ndo mambo ya mkakati haya???
hahha sio mkakati bana, wewe fanya tu kutuletea huo mzigo tukadamshi sisiHmm.....yaani wewe na HS mna taste zinazofanana?
Manake naye kasema hiyo nyekundu ni kama kapimiwa yeye....
Au ndo mambo ya mkakati haya???
Namna bora ya kudakwa na wasiojulikana kwa uroho wa kupenda pesa wabongoUmefanya ubunifu wenye tija... Tunaweza kufanya kitu kikubwa sana... Naongeza zawadi... 3rd runner atapata naye 5000/=
Jr[emoji769]
Hahahahahaaa. Kama size 14 nichukulie ila kama 12 mchukue Heaven Sent tuu. Tumeamua kuungana tule maushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
wooooooozer, yani nishaanza kujipatia picha ndani ya hicho kiwaloHahahahahaaa. Kama size 14 nichukulie ila kama 12 mchukue Heaven Sent tuu. Tumeamua kuungana tule maushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajali kazini mkuuNamna bora ya kudakwa na wasiojulikana kwa uroho wa kupenda pesa wabongo
Eeeh.Kwa hiyo ‘HS-Mzigua90’ ni timu ya ushindi eeh?
Hahahaaa mmetisha.
hahaa #TeamUshindi#Kwa hiyo ‘HS-Mzigua90’ ni timu ya ushindi eeh?
Hahahaaa mmetisha.