30,000 Likes

30,000 Likes

Wapendwa katika Bwana, leo imebidi nitafute na smartphone ili niconfirm kwa picha kuwa mzigo wangu nimeupata kama unavyoonekana hapo.
RRONDO yani leo maombi yote ni juu yako teh. You shall never lack anything IJN, siku zote ukawe na utoshelevu. View attachment 849624View attachment 849631

Atakayependa hicho kitenge kinachoonekana hapo, anaweza tu akani-pm (tangazo nimelipia)

c.c Mshana Jr -KANA- Eli79 Mzigua90 et al
Hahaaa!!binamu Mimi nataka perfume tu hata kujipulizia kidogoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom