Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
hahaha ubarikiwe sana MOTPUnafikiri kumshawishi mwanaume wa kiafrika atoe hela sio kazi?
Hebu waache dada zetu tunajuana!
- KANA -
Achana nao jf ya mwaka 2018 ndiyo imekuwa ya kusakanaTukamatwe na wasiojulikana kwa hizi comments za chit chat na MMU? Afu kupokea zawadi haimaanishi kuexpose identity yako kama hujisikii kujiexpose. Take it easy
Na ninavyopenda zawadi, ntaacha kupokea siku nikikamatwaAchana nao jf ya mwaka 2018 ndiyo imekuwa ya kusakana
Huko nyuma ujamaa ulikua wa kutosha
[emoji252] [emoji479]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na ninavyopenda zawadi, ntaacha kupokea siku nikikamatwa
...Usijisifu una mbio wasifu na wanaokufukuza!
Update: Mshindi Heaven Sent kapata zawadi yake, ila baada ya Nyani Ngabu kusema ataweka $100 nimeona ni vizuri niongeze zawadi kwa mshindi ambayo ni perfume hio hapo chini. Unastahili zawadi hii HS sio kwa ku-Like tu posts zangu bali kwa michango yako humu JFView attachment 849021
Aww!, Hongeratulations T ake Heaven Sent
You sure deserve it Giirl! [emoji122]
Vibaya hivyoNo comment
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Angekataa bana, hajazoea dezoMuulize yeye angepewa zawadi abgekataa?
Haha ahsante sana mamaHeaven Sent hongera sana mama. Unastahili. Bila ubishi.
Ila wewe ni likes machine aisey!!!
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Angekataa bana, hajazoea dezo
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Dhubutuuuuuu!! Hebu mjaribuni kwa vocha ya jero tuu asipopokea.
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Relax mkuu...nani atahangaika na mpiga porojo chit chat? Labda nyie wenye akili kule kwenye siasa ndio muishi kama digidigi.
hahahaa mnataka mumkamatishe?
Akamatwe na nani bhana!! Labda akodi Noah ajaze na mafuta alipe watu wamteke.
Watu wasiojulikana wanatekaga watu ni watu??
Atupishe ati hata kama zawadi inatolewa central police ni ya kufuatwa.
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk