30,000 Likes

30,000 Likes

...Usijisifu una mbio wasifu na wanaokufukuza!

Update: Mshindi Heaven Sent kapata zawadi yake, ila baada ya Nyani Ngabu kusema ataweka $100 nimeona ni vizuri niongeze zawadi kwa mshindi ambayo ni perfume hio hapo chini. Unastahili zawadi hii HS sio kwa ku-Like tu posts zangu bali kwa michango yako humu JFView attachment 849021


Aww!, Hongeratulations T ake Heaven Sent
You sure deserve it Giirl! 👏
 
hehheehhehehe mbona kujiteka. Ahsante nimecheka asubuhi asubuhi
Akamatwe na nani bhana!! Labda akodi Noah ajaze na mafuta alipe watu wamteke.
Watu wasiojulikana wanatekaga watu ni watu??
Atupishe ati hata kama zawadi inatolewa central police ni ya kufuatwa.

Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom