30,000 Likes

Ndiyo ili siku nyingine ukumbuke kunitag.
Yaani Leo ningeona mapema ningelike hadi post yako ya kwanza tangu ujiunge jf. Na kama kuna uwezekano wa kulike pm ningelike hadi huko.
Sinaga uzembe kazini

Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Duh nimekosa Likes zako...karibu PM siku hizi kuna Like option
 
Huu uzi umenipa wazo.

Nami ntaanzisha shindano mahsusi kwa wadada tu na mshindi atajipatia $100.00 za Ngabu.

Ngoja nifikirie ni aina gani ya shindano halafu nilianzishe...
Kwa mtindo huu wa haya mashindano ni wengi wataingia mtegoni! Tuwe makini sana na hii "michezo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…